Ushuhuda: Leo nimekutana na kipanga jeuri wa darasani. Kweli hakuna uhusiano wa uwezo darasani na wa maisha halisi

Ushuhuda: Leo nimekutana na kipanga jeuri wa darasani. Kweli hakuna uhusiano wa uwezo darasani na wa maisha halisi

umeandika pumba, Vipanga ndio viongozi wako, vipanga ndio wako TRA, Vipanga ndio wapo TBS, Vipanga ndio wapo EWURA, Vipanga ndio wanaokutoza kodi, vipanga ndio wako ofisi ya Rais, vipanga ndio walimu vyuoni, vipanga ndio wanaokutibu ukiumwa. Futeni hizo pumba zenu.
Mimi nashare experience tu,kipanga uchwara mfukoni vumbi tupu.umeandika ushuz
 
umeandika pumba, Vipanga ndio viongozi wako, vipanga ndio wako TRA, Vipanga ndio wapo TBS, Vipanga ndio wapo EWURA, Vipanga ndio wanaokutoza kodi, vipanga ndio wako ofisi ya Rais, vipanga ndio walimu vyuoni, vipanga ndio wanaokutibu ukiumwa. Futeni hizo pumba zenu.
Upo dunia ya wapi wewe dada!?kazi za siku hizi ni connection sio hayo makaratasi.
 
Wewe ni mjinga hata kudanganya hujui!

IQ yako ndogo sana! Mtu mliyesoma naye darasa moja obviously atakuwa age mate wako!

Sasa ulivyom-address na huyo rafiki yako alivyom- address kijana wake wa kazi kwako obviously hakuna uhalisia wowote! Hizi ni story za vil.aza kutungia vil.aza wenzao.
Hela huijui wewe, unaweza kumuajili kaka yako kabisa kiumri bado ukaonekana mkubwa kuliko yeye na akakupa heshima zote ukaka au hadi uhaba.
 
Back
Top Bottom