Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Kweli mkuu,Huu usemi una uhalisia wa 100%.Hii kitu nimekua mkubwa sasa nashuhudia kuwa mjenzi wa hii kauli hakukurupuka. Naelekea huko naona barabara inanyooka. Nakiri kwa nchi zetu hizi mtazamo huu unadhihirika.
Wasubiri 40 nyengine.Na wale ambayo inafika 40 bado mambo hayaendi?
Hiyo ni kweli, ukitaka ushuhuda niulize mimi. Life begins at 40Hii kitu nimekua mkubwa sasa nashuhudia kuwa mjenzi wa hii kauli hakukurupuka. Naelekea huko naona barabara inanyooka. Nakiri kwa nchi zetu hizi mtazamo huu unadhihirika.
Hii kitu nimekua mkubwa sasa nashuhudia kuwa mjenzi wa hii kauli hakukurupuka. Naelekea huko naona barabara inanyooka. Nakiri kwa nchi zetu hizi mtazamo huu unadhihirika.