Ushuhuda, life starts at 40

Ushuhuda, life starts at 40

Kwa Afrika na nchi ambazo ni less developed countries maisha yanaanza at 40 kuanzia miaka 18-39 ni mchakamchaka mzito kwa kifupi ni vita ya kujiimarisha na kujijenga kiuchumia unapofika kwenye 40 kuna vingi utakua umeanza kufanikiwa haswa hili "FINANCIAL FREEDOM"
 
Hii kitu nimekua mkubwa sasa nashuhudia kuwa mjenzi wa hii kauli hakukurupuka. Naelekea huko naona barabara inanyooka. Nakiri kwa nchi zetu hizi mtazamo huu unadhihirika.
Hiyo ni kweli, ukitaka ushuhuda niulize mimi. Life begins at 40
 
Hii kitu nimekua mkubwa sasa nashuhudia kuwa mjenzi wa hii kauli hakukurupuka. Naelekea huko naona barabara inanyooka. Nakiri kwa nchi zetu hizi mtazamo huu unadhihirika.

Kuna kitu wazungu wanaita life expectancy, think about it.
 
Maisha hayapo hivo kabsa coz Kuna wanao fanikiwa before 40s Kuna wanaofanikiwa after 40s yote Kwa yote kila mtu ananjia zake,, waswahili wanasema mafanikio hayana formulary some time is true
 
Back
Top Bottom