SpO2 ni ngapi ?Asije develop hypoxia na mwanao akabaki yatima bure.
Tunavaa Barakoa muda wote wa kazi.Dr please read this and from now onward please take all precautions. Life is so beautiful and precious.
Tunavaa Barakoa muda wote wa kazi.
Mkuu Hali Kama ya mkeo imenikuta hapa nakohoa kikohozi kikavu juzi nilizidiwa wakanipa dozi ya malaria nikamaliza Jana nilitaka kudondoka bafuni.Nikawa napumua kwa shida kilichonisaidia Leo nimedamka kukimbia Kama km kadhaa kifua kmefunguka lakini hali si Hali.Nilijiuliza inakuwaje ana mafua makali namna hiyo na kikohozi wakati huu wa joto kali! Tukio lilianza siku ya ijumaa iliyopita. Nikadhani masihara. Jumamosi jioni naona mambo yanazidi kuwa magumu. Huku nawaza sana inakuwaje hali ile wakati huu wa joto kali? akaenda akachoma sindano ya kufanya kifua kiachie!
Jumapili mchana hali bado ikazidi kuwa tete akaenda akawekewa mashine ya kupumulia inayotoa mvuke. Kidogo hali ikatengamaa. Jumatatu anaamka mambo bado magumu. Ikalazimu akawekewe tena mashine hiyo ndani ya hospitali nyingine na kupewa dawa kali za kutuliza maumivu. Hali yake kwa sasa ni nzuri ila ndiyo bado anakohoa na mafua.
Sijui na bado nawaza kilichopelekea mafua na kikohozi kile kipindi hiki cha joto kali!
Kama lipo tatizo basi serikali ituambie ukweli tuu! Mimi naandika huu ujumbe ninauguza na niliyoyaandika hapa yametokea kwa huyo mzazi mwenzangu!
Kipindi hiki vifo vyao covid 19 vimekuwa vingi na wagonjwa wameongezeka. Kuna family friend moja nyumba nzima waliolazwa na sasa wanaendelea matibabu nyumbani kwao na hakina anayeruhusiwa kuingia
Mkuu Hali Kama ya mkeo imenikuta hapa nakohoa kikohozi kikavu juzi nilizidiwa wakanipa dozi ya malaria nikamaliza Jana nilitaka kudondoka bafuni.Nikawa napumua kwa shida kilichonisaidia Leo nimedamka kukimbia Kama km kadhaa kifua kmefunguka lakini hali si Hali.
Mkuu Kesho nafanya checkup.Wahi hospitali Mkuu ukapate uhakika.
[emoji3166][emoji3166][emoji3166]
[emoji848][emoji848][emoji848]inawezekana eti?Hii tread ya kisiasa ,ila umepitia mlango mwingine.
Gashi naga. Nale natamanile.Huyo ni tapeli tu wa hapa mjini.
Mashine za mvuke hiyo ni Nebulizer na inatumika ku relieve mtu aliyebanwa na kifua hasa wenye Asthmatic Attack, jaribu kufatilia upya ni nini kinamsumbuaNilijiuliza inakuwaje ana mafua makali namna hiyo na kikohozi wakati huu wa joto kali! Tukio lilianza siku ya ijumaa iliyopita. Nikadhani masihara. Jumamosi jioni naona mambo yanazidi kuwa magumu. Huku nawaza sana inakuwaje hali ile wakati huu wa joto kali? akaenda akachoma sindano ya kufanya kifua kiachie!
Jumapili mchana hali bado ikazidi kuwa tete akaenda akawekewa mashine ya kupumulia inayotoa mvuke. Kidogo hali ikatengamaa. Jumatatu anaamka mambo bado magumu. Ikalazimu akawekewe tena mashine hiyo ndani ya hospitali nyingine na kupewa dawa kali za kutuliza maumivu. Hali yake kwa sasa ni nzuri ila ndiyo bado anakohoa na mafua.
Sijui na bado nawaza kilichopelekea mafua na kikohozi kile kipindi hiki cha joto kali!
Kama lipo tatizo basi serikali ituambie ukweli tuu! Mimi naandika huu ujumbe ninauguza na niliyoyaandika hapa yametokea kwa huyo mzazi mwenzangu!
Isaji hange ??likagwaga lusalo ?Isaji duhu!