Ushuhuda: Mama mtoto wangu anaendelea vizuri baada ya kuwekewa mashine ya kuzalisha mvuke kwenye mfumo wa hewa ndani ya hospitali moja mjini Dar

Dr please read this and from now onwards please take all precautions. Life is so beautiful and precious.

SpO2 ni ngapi ?Asije develop hypoxia na mwanao akabaki yatima bure.
 
Kwa hiyo tuanzie hapa oksijeni yenye mvuke ki local ni kujivukiza basi atapona
 
Poleni sana mkuu...
Mungu wetu wenye huruma na upendo, atawafanyia wepesi katika jaribu hili na wakati mgumu mnao pitia.
Mimi na filia yangu tutawaweka kwenye maombi leo kabla hatujalala.
 
Nilijiuliza inakuwaje ana mafua makali namna hiyo na kikohozi wakati huu wa joto kali! Tukio lilianza siku ya ijumaa iliyopita. Nikadhani masihara. Jumamosi jioni naona mambo yanazidi kuwa magumu. Huku nawaza sana inakuwaje hali ile wakati huu wa joto kali? akaenda akachoma sindano ya kufanya kifua kiachie!

Jumapili mchana hali bado ikazidi kuwa tete akaenda akawekewa mashine ya kupumulia inayotoa mvuke. Kidogo hali ikatengamaa. Jumatatu anaamka mambo bado magumu. Ikalazimu akawekewe tena mashine hiyo ndani ya hospitali nyingine na kupewa dawa kali za kutuliza maumivu. Hali yake kwa sasa ni nzuri ila ndiyo bado anakohoa na mafua.

Sijui na bado nawaza kilichopelekea mafua na kikohozi kile kipindi hiki cha joto kali!

Kama lipo tatizo basi serikali ituambie ukweli tuu! Mimi naandika huu ujumbe ninauguza na niliyoyaandika hapa yametokea kwa huyo mzazi mwenzangu!
Mkuu Hali Kama ya mkeo imenikuta hapa nakohoa kikohozi kikavu juzi nilizidiwa wakanipa dozi ya malaria nikamaliza Jana nilitaka kudondoka bafuni.Nikawa napumua kwa shida kilichonisaidia Leo nimedamka kukimbia Kama km kadhaa kifua kmefunguka lakini hali si Hali.
 
Halafu Watanzania tunadanganywa hakuna COVID19 Nchini!
Kipindi hiki vifo vyao covid 19 vimekuwa vingi na wagonjwa wameongezeka. Kuna family friend moja nyumba nzima waliolazwa na sasa wanaendelea matibabu nyumbani kwao na hakina anayeruhusiwa kuingia
 
Wahi hospitali Mkuu ukapate uhakika.
Mkuu Hali Kama ya mkeo imenikuta hapa nakohoa kikohozi kikavu juzi nilizidiwa wakanipa dozi ya malaria nikamaliza Jana nilitaka kudondoka bafuni.Nikawa napumua kwa shida kilichonisaidia Leo nimedamka kukimbia Kama km kadhaa kifua kmefunguka lakini hali si Hali.
 
ᥴꪮꪜ꠸ᦔ ᧒ၦ ꠸ᦓ ᥅ꫀꪖꪶ!
 
Nilijiuliza inakuwaje ana mafua makali namna hiyo na kikohozi wakati huu wa joto kali! Tukio lilianza siku ya ijumaa iliyopita. Nikadhani masihara. Jumamosi jioni naona mambo yanazidi kuwa magumu. Huku nawaza sana inakuwaje hali ile wakati huu wa joto kali? akaenda akachoma sindano ya kufanya kifua kiachie!

Jumapili mchana hali bado ikazidi kuwa tete akaenda akawekewa mashine ya kupumulia inayotoa mvuke. Kidogo hali ikatengamaa. Jumatatu anaamka mambo bado magumu. Ikalazimu akawekewe tena mashine hiyo ndani ya hospitali nyingine na kupewa dawa kali za kutuliza maumivu. Hali yake kwa sasa ni nzuri ila ndiyo bado anakohoa na mafua.

Sijui na bado nawaza kilichopelekea mafua na kikohozi kile kipindi hiki cha joto kali!

Kama lipo tatizo basi serikali ituambie ukweli tuu! Mimi naandika huu ujumbe ninauguza na niliyoyaandika hapa yametokea kwa huyo mzazi mwenzangu!
Mashine za mvuke hiyo ni Nebulizer na inatumika ku relieve mtu aliyebanwa na kifua hasa wenye Asthmatic Attack, jaribu kufatilia upya ni nini kinamsumbua
 
Back
Top Bottom