Unamuomba mtoto msamaha!!!wewe siyo MZAZI huyo mtoto lazima awe na malezi ya hovyo.Mwanangu alivyokuwa na miaka 4 nilimchapa sana, baada ya hapo nikajuta na kuumia hadi kupelekea kulia sana. Nikamuomba msamaha na tangu siku hiyo sijamchapa tena. Bahati nzuri hakumbuki
Wapi imeandikwa mtoto wa kiume asioshe vyombo?Mtoto wa kiume unaosha vyombo ????
Hiyo familia yenu haikuwa na Baba ???
Au kwenu Mama ndiyo alikuwa Baba na baba alikuwa mama???
Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli mzungu[emoji16][emoji16] unamuomba mtoto msamaha, sijawahi kuona wazazi wananiomba msamaha labda nilivyo mkubwa hivi ndio mzazi akigundua alinikosea anaomba msamaha napo wa kishkaji tuMwanangu alivyokuwa na miaka 4 nilimchapa sana, baada ya hapo nikajuta na kuumia hadi kupelekea kulia sana. Nikamuomba msamaha na tangu siku hiyo sijamchapa tena. Bahati nzuri hakumbuki
Wapi imeandikwa mtoto wa kiume asioshe vyombo?
MZAZI anaye walea wanae kwa kuwafundisha kazi zote za nyumbani yuko sahihi....faida YAKE ni kubwa sana maishani.
Unatakiwa ujue kupika,kuosha vyombo,kufua,kupiga deki n.k unapoishi peke yako nani atakufanyia hizo kazi kama siyo wewe mwenyewe.
Hizi nyuzi unaziandika wakati upo high. Ukitua ardhini unaona ulichoandika ni miyeyusho unatelekeza uzi haurudi tena kumalizia komedi zako.
Nyie ndio watoto wenu wakitengana na familia huwa wanaishia kula magengeni na kuishi hotelini maana hata kuosha vyombo wanashindwa na kutandika kitanda.
Wewe umekulia mazingira yako yaliyokunyima nafasi ya kujifunza kazi za nyumbani...sio mmakonde tu hata MTU yeyote anatakiwa kujua kazi za kuosha vyombo,kufua,kupika...mfano mama yako ametoka atarudi jioni na wewe umebaki na faza misosi IPO na kuna vyombo vichafu hamtakula wala kuosha vyombo mpaka mama arudi na hapo kwenu hamna mtoto wa kike!!! Kwa wewe itakuwa ngumu vipi kwa aliyezoea hizo kazi?Hizi ni utamaduni za wamakonde tu na vikabila vingine vidogo vidogo vya huko pembeni pembeni mwa nchi.
Mtoto wa kiume anapaswa kufundishwa mambo Global siyo ya kuchafuka masizi jikoni ukaanza dagaa na kuchemsha mchicha tu sijui kuosha mabeseni na masefuria !!!!!!???
Mtoto wa kiume aliyefundishwa mambo ya kiume hawezi struggle simply anaishi peke yake tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukizeeka ndio wisdom inaongezeka.Mama yangu pia nasikia enzi za ujana nae alikuwa ni balaa, dada zetu wawili wa kwanza wamekula sana fimbo. Hajawahi kumuumuza mtu ila hadi leo huwa anasikitika mwenyewe anasema wale wanangu wawili niliwatesa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu amfunze mwanaye anachoona ni sahihi. Mimi namshukuru sana Mama yangu kwakuwa hakutaka kabis niseme kazi za dada au nani. Nilipoishi mbali naye kwa miaka 10 ndipo nilijua alimaanisha nn.Mtoto wa kiume hafundishwi kupika na kuosha vyombo tu tuwe serious kidogo.
Mtoto wa kiume lazima afundishwe kuishi katika kila aina ya maisha na aendelee kuulinda uanaume wake.
Kuishi pekee yake hakumzuii kuhudumiwa na wanawake kwa hayo mambo madogo madogo ya kuoshewa vyombo sijui kutandikiwa kitanda tu.
Kama ni mmakonde huwezi kuelewa hoja yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu amfunze mwanaye anachoona ni sahihi. Mimi namshukuru sana Mama yangu kwakuwa hakutaka kabis niseme kazi za dada au nani. Nilipoishi mbali naye kwa miaka 10 ndipo nilijua alimaanisha nn.
Mama yangu alikuwa mkali. lakini sio wa kupiga na kutoa jicho, na ukali wake ulitusaidia sana sasa hivi tunamshukuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli tu.
Mimi mwanangu namfundisha mambo Global siyo kuchafuka masizi jikoni na ukoko wa wali maharage akiosha vyombo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes nikikosea namuomba msamaha. Inasaidia sana kuimarisha mahusiano.We kweli mzungu[emoji16][emoji16] unamuomba mtoto msamaha, sijawahi kuona wazazi wananiomba msamaha labda nilivyo mkubwa hivi ndio mzazi akigundua alinikosea anaomba msamaha napo wa kishkaji tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah wakati wengine tulikua tukifanya noma tunakimbilia kwa bi mkubwa atutetee aseee πππPole sana kwa kupata mama wa namna hiyo G Sam
Mwanangu alivyokuwa na miaka 4 nilimchapa sana, baada ya hapo nikajuta na kuumia hadi kupelekea kulia sana. Nikamuomba msamaha na tangu siku hiyo sijamchapa tena. Bahati nzuri hakumbuki