GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
Unamuomba mtoto msamaha!!!wewe siyo MZAZI huyo mtoto lazima awe na malezi ya hovyo.Mwanangu alivyokuwa na miaka 4 nilimchapa sana, baada ya hapo nikajuta na kuumia hadi kupelekea kulia sana. Nikamuomba msamaha na tangu siku hiyo sijamchapa tena. Bahati nzuri hakumbuki