Mkurya mweupe
JF-Expert Member
- Aug 10, 2023
- 239
- 817
- Thread starter
-
- #201
Ukitaka ushahid nakupa unawapigia hata kampuni yenyewe Ila nilishinda nikiwa kwenye dozi hyo ,Ila siamin kwamba ukitumia mkojo ndo utashinda betting ni bahati ya mtu na mtu. Ukitaka njoo nikupe majina yangu kamili yaliyopo kwenye kitambulisho changu na namba ya simu yangu ,uhakik majina hayo ,kwa kutumia kitambulisho na namba za simu ,na picha yangu halisi ,halafu ingia Google usearch hilo jina ,lazima litaleta .......Mshindi wa perfect 12 ,2016.HAPO KWENYE BETTING NAKATAA
HAPANA ! HAPANA ! HAPANA
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kila siku kwa siku Saba ,unaobaki unamwaga ,Kwa hiyo hayo makojo ni Kila siku unakujoa na kunywa au unayahifadhi hayo hayo ya siku moja mana yananuka ujue
Ndo Nani huyu Tabibu Loisi?[emoji2][emoji2]Tabibu Loisi amewaharibu watu aisee
Kuwaelimisha watu kazi ,ni sawa mtu akuambie kuwa alianza kwa biashara ya mgahawa na saiv anamiliki hotel kubwa sana ,na wewe ufikirie kwamba hyo ndo biashara uanze ,unaweza ww kupotea kabisa ......kila mtu hapa duniani ana njia zake za kupita ...... Ukishaamka kiroho ( spirtual awakening ) utajua kusudio lako ni lipi na inabidi ulitimize , masuala ya pesa kwenye ishu za kuamka kiroho ni minor sana ,hapa tunaangalia kitu ambacho kitakupa amani ya moyo kwa kuondoka umekitimiza hapa duniani.Kuna mtu kanywa mkojo asubuhi alafu kaenda kubet haha haha
Mkuu unaweza kufafanua matumizi ya bangi in a positive wayHuyu aliesema bangi ,anaichukulia bangi katika njia hasi ,Ila bangi ni dawa ukiitumia in a positive way ,ni mmea wa Kimungu ,ndo maana Rastafarian huwaambii kitu kuhusu bangi ,
Bangi inafukuza wachawi ,bangi unaweza kufanyia meditation pia ,bangi inafukuza chuma ulete kwenye biashara ,acha kuisema bangi vibaya wewe ,inategemea unaitumia kwa matumizi yapi ,ipo siku itakusaidia katika tiba.
Mwingine mwenye ushuhuda wa hii hajapatikanaKuwaelimisha watu kazi ,ni sawa mtu akuambie kuwa alianza kwa biashara ya mgahawa na saiv anamiliki hotel kubwa sana ,na wewe ufikirie kwamba hyo ndo biashara uanze ,unaweza ww kupotea kabisa ......kila mtu hapa duniani ana njia zake za kupita ...... Ukishaamka kiroho ( spirtual awakening ) utajua kusudio lako ni lipi na inabidi ulitimize , masuala ya pesa kwenye ishu za kuamka kiroho ni minor sana ,hapa tunaangalia kitu ambacho kitakupa amani ya moyo kwa kuondoka umekitimiza hapa duniani.
Yes tulikuwa tunaimba chenja kuitafuta kalunde ....."kalunde kwa mguu mbali haya haya tunaondoka "....Ulivyo itaja msange nikakumbuka Kijiji Cha Kalunde na ndege John pale mess
Afande Mafleta unampata?Yes tulikuwa tunaimba chenja kuitafuta kalunde ....."kalunde kwa mguu mbali haya haya tunaondoka "....
Sijampata huyo jamaa labda kwa jina lingine ,nilikuwepo enz za Mwaipungu ,Mkalawa ,Capt Baraka ,MbeshiAfande Mafleta unampata?
Mimi nimepita pale 2015 OP Kikwete yawezekana uliingia kabla hajaja, au baada ya kuondoka ungemkuta lazima ungemfahamu huyoo alikuwa ni mng'aoSijampata huyo jamaa labda kwa jina lingine ,nilikuwepo enz za Mwaipungu ,Mkalawa ,Capt Baraka ,Mbeshi
Ok sawa mm nilikuwepo 2013 OP MIAKA 50 YA JKT .Mimi nimepita pale 2015 OP Kikwete yawezekana uliingia kabla hajaja, au baada ya kuondoka ungemkuta lazima ungemfahamu huyoo alikuwa ni mng'ao
We ni maalim hamadi wa FacebookHizi Mambo ni ngumu watu kuelewa ikiwa bado hujaamka kiroho ni ngumu kuelewa haya mambo ,hii ni njia Bora sana kupambana na negative energy ..... Baadhi ya njia nyingine ni Kama
1 .chumvi ya mawe
2.Mkaa
3.Soda ya Fanta orange
4.Magadi.
Nope nilishawah mfatilia zamani kidogo ,yeye huwa yupo dimensions tofaut kabisa ,maana yeye ni mtabir wa nyota ,na tulishawah share masomo ya astral projectionWe ni maalim hamadi wa Facebook
Maalim Hamadi ni jina la kazi ,natamani angekuwemo JF akawafundisha wajuaji sana wa humu hz mambo kila siku ,maana na kutoa elimu hadi mtu akakuelewa ni kipaji .We ni maalim hamadi wa Facebook