Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

Kuingia wanaingia ila wasipojua kuwa unatumia chumvi inawazuri ila wakijua unatumia Chumvi basi wanajua jinsi ya kuifinya isifanye kazi..
 
Asante sana mkuu kwa kuja na ushahidi ,panapo majaliwa Leo nitatoa somo la full moon ,ni jinsi gani ya kumanifest katika full moon ya mwezi huu ,na vitu gani uviachilie katika full moon,full moon ni kipind ambacho mwanadamu huwa anachaji energy yake ,hata majini yenyewe huchaji energy yake katika full moon ,full moon itakusaidia kuachilia vitu ambavyo huvitak tena katika maisha yako ,itakusaidia uweze kumanifest ni vitu gani unataka uvipate katika maisha yako na ni kwa kipind gani ufanikishe hvo vitu ,full [emoji281] moon itakufanya urudishe energy zako zote nzuri na utoe energy zote mbaya.
 
Tunasubiri Mkuu
 
Hizi Mambo ni ngumu watu kuelewa ikiwa bado hujaamka kiroho ni ngumu kuelewa haya mambo ,hii ni njia Bora sana kupambana na negative energy ..... Baadhi ya njia nyingine ni Kama
1 .chumvi ya mawe
2.Mkaa
3.Soda ya Fanta orange
4.Magadi.
Mkuu naomba ufafanuzi kuhusu soda ya fantastic orange
 
Aisee 🤔
 
Full [emoji281] moon ni tukio ambalo Japo kwa wale watu wenye imani kali za dini ,wanaweza kuita ushirikina ,lakini sio kweli ni maarifa tu ya dunia ,ndo maana hata siku ya full moon kwa baadhi ya makanisa huwa wanakesha wanaomba , manake hyo siku kile unachokuwa unakiomba ndani ya siku husika ya full moon kinakuwa kinanguvu sana na kinapokelewa ukiomba kwa Imani........Full moon ya mwezi huu itakuwa ni tarehe 28 ,itajulikana kama hunters [emoji281] moonView attachment 2794004
 
Kitu Cha kwanza katika full moon hakikisha sana ,ndani ya saa 24 za full moon hugombani na kuleta mvurugano na mtu yeyote,kwa sababu ya kutoathiri nguvu ya full moon ,ili uendelee kubaki na positive energy tu siku hyo .maana full moon huwa inaleta hasira ,mivurugano ,utahisi uchovu na kuchoka ,kuhisi usingizi hv ,kwahyo hakikisha Jambo la kwanza ili tukienda kufanya Mambo muhimu ndani ya siku hyo ,udhibiti hasira zako ,husivurugane na mtu yoyote ,Japo nature ya full moon itakuwa inakupeleka huko kwenye hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…