Mkurya mweupe
JF-Expert Member
- Aug 10, 2023
- 239
- 817
- Thread starter
-
- #441
Ni kuanzia saa tano na dakika 24 usiku na kuendeleaMkuu kama naweza kuachia labda saa moja halafu nikarudia ile ya saa tano?
Ni sahihi kabisaakhsante kwa somo mkuu,full moon inasiri nzito sana kuna kitabu nilisoma wachawi wanaitumia vyema hii cku kuchajia zana zao za kazi.
Full moon Ina miujiza sana unaweza kuona ,Kuna muda unaweza washa mshumaa usizime mpaka asubuh au kutoa ule uji uji ,majini na washirikina pia muda huo ndo huwa wanacharge energy zaoakhsante kwa somo mkuu,full moon inasiri nzito sana kuna kitabu nilisoma wachawi wanaitumia vyema hii cku kuchajia zana zao za kazi.
Ni sahihi kama nilivyomuelewa,issue nzima inaanza saa5 na dk 24Kamarada Mkurya mweupe unasema hii kitu yako inafanyika ndani ya masaa 72 ya huu full moon au lazima iwe kuanzia hiyo saa 2324..?.
Yule Dada yake na Mr Nice?Au ndo maana leo zumaridi ana mkesha kwake hapo maana naskia kelele hadi muda huu
Hujaelewa!.Ni sahihi kama nilivyomuelewa,issue nzima inaanza saa5 na dk 24
[emoji2][emoji2] eeh uyo uyo, izo kelele zinazopigwa hapo sio mchezo aisee, kuna dalili kabisa kuna mkesha kwake leo, may be tuunganishe dot na hiki kitakachotokea leoYule Dada yake na Mr Nice?
Muda wa kuanza ni huo saa5 na dk 24,na full moon inaisha ndani ya saa72,so unaweza kufanya jambo lako ndani ya saa72 kuanzia hiyo saa5.Hujaelewa!.
Ni inafanyika ndani ya masaa 72 ya huu full moon au lazima iwe saa 2324 tu..?
Sehemu kibao tuu mambo yanafanyika,hata huko Bagamoyo kuna tamasha la Bagamoyo Naibu Waziri Mkuu mgeni rasmi.[emoji2][emoji2] eeh uyo uyo, izo kelele zinazopigwa hapo sio mchezo aisee, kuna dalili kabisa kuna mkesha kwake leo, may be tuunganishe dot na hiki kitakachotokea leo
OkKuna uzi soon napandisha hapa sson.
Pale kuna options zaidi ya moja,chagua inayoona inafaa kwa mazingira yako,sio lazima ufanye zote.Me nimekosa mshumaa naweza choka hiyo karatasi kwa kiberti kawaida?
Vip kutoka hiyo karatasi hadi uwe nje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio inavyotakiwa uwake uishe ujizime wenyewe.Mshumaa wangu mweupe mkubwa uliwaka wote na kuisha, maana yake nini?