Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

akhsante kwa somo mkuu,full moon inasiri nzito sana kuna kitabu nilisoma wachawi wanaitumia vyema hii cku kuchajia zana zao za kazi.
Full moon Ina miujiza sana unaweza kuona ,Kuna muda unaweza washa mshumaa usizime mpaka asubuh au kutoa ule uji uji ,majini na washirikina pia muda huo ndo huwa wanacharge energy zao
 
Hujaelewa!.
Ni inafanyika ndani ya masaa 72 ya huu full moon au lazima iwe saa 2324 tu..?
Muda wa kuanza ni huo saa5 na dk 24,na full moon inaisha ndani ya saa72,so unaweza kufanya jambo lako ndani ya saa72 kuanzia hiyo saa5.
 
[emoji2][emoji2] eeh uyo uyo, izo kelele zinazopigwa hapo sio mchezo aisee, kuna dalili kabisa kuna mkesha kwake leo, may be tuunganishe dot na hiki kitakachotokea leo
Sehemu kibao tuu mambo yanafanyika,hata huko Bagamoyo kuna tamasha la Bagamoyo Naibu Waziri Mkuu mgeni rasmi.
 
Back
Top Bottom