Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

Asante sana
 
Ni kama nawaona vile viglass vya mkono vikipigwa asubuhi asubuhi
 
Naongezea kidogo ,hakikisha ni mkojo wako wa kwanza wa asubuh kabla ya kuongea na mtu yoyote kisha kunywa kidogo ,kwa manuizi pia unaenda kuogea bafuni ,sio chooni ni bafuni,usitumie sponji .

Pia Kama mtu amekunywa sumu ,mnyweshe mkojo Kama huduma ya kwanza uwe wake au wako.

Unaweza kuosha uso wako pia asubuh kwa mkojo wa asubuhi kuinua aura yako na kuvutia baraka zako.

Unaweza kusafisha mikono yako kwa mkojo pindi unapotaka kupokea pesa kwa mtu usiyemuamini.

Unaweza kuloweka kufuli ikiwa na funguo kwenye mkojo wako na ukaenda ukaitupa ikiwa imefungwa kwenye barabara yenye mkusanyiko mwingi ,mtu akiifungua tu kufuli hyo ,maisha yako yanabadilika na kuwa mazuri.

Unaweza kupigia deki ,mkojo wako ,nyumbani ,itasaidia kuleta amani katika nyumba ,au kati yako na mpenz wako.

Unaweza kuweka mkojo ukiwa unaosha watoto wako ,kwa yoyote atakayejaribu kuwagusa atakipata Cha mtema kuni

Hii ndo nguvu ya Mkojo niliweza fundishwa hvo na Mimi nimeona nishare ,na niliwahi fanya ikalipa sio maigizo .Hadi saiv huniambii kitu kuhusu mkojo wa asubuh ni dozi .
 
Pia usitumie sabuni ,jimwagie tu na usipanguse maji yakaukie ,fanya halafu urudi na ushuhuda hapa na tabasamu la ushind
 
Hhii scenario ya mkojo kuna wakati ilitrend sana mitandaoni hasa kwa wanawake. Mara ukitaka bwana akupe hiki kunywa kojo, mara hivi mara vile. Sijui viliishiaga wapi
 
Unapotosha watu.
 
Nipo dimension ya tatu katika ulimwengu huu ,uzuri sio lazima kuamini ,ndo maana wapo wanaoamini kwa Mungu na wengine kwa waganga ,na wengine katika energy ya asili ( nature)
Buddha alisema ukiumwa na nyoka,chukua maji,weka udongo,changanya kinyesi kidogo,koroga,kunywa.
Haya mambo ya zamani. Dawa hazikuwepo,people were using these novel methods to treat themselves. Haya mambo hayana nafasi in modern life.
 
Hapa ni chumvi tu

Mkojo una chumvi.

Chumvi asilia sio chumvi mfu.

Mimi binafsi natumia chumvi kuogea

Niseme ukweli kwa hii miezi 3 tangu nianze milango ya fedha imefunguka sana kwangu. Na baadhi mambo yangu yamekuwa safi.

Chumvi iliwekwa na MUNGU. na Moja ya ingredient za kujitakasa dhidi ya nuksi, mabalaa, uchawi, mikosi na negative energy za aina mbalimbali.

Naitumis Kila siku asubuhi na jioni kuogea na lazima uinue.

Hili soma nilijifunza kwa mshanajr kwenye mada zake za CHUMVI.

hizi chumvi sio zile za malindi na Neel salt [emoji1]

Nanunua zlle zilikoz kuwa traped from OCEAN WATER. ukienda some beaches utakuta wanauza sana.

Maji ya baraka tu kanisani huwa lazima waweke chumvi na kuombewa na padri.
 
Ngoja tutaleta na nguvu ya Fanta orange ile ya chupa sio ile take away nguvu yake katika kuondoa negative energy ,na pia inatumika kuwajua watu wote waliowahi kukufanyia ubaya ukiitumia utawaona ndotoni wakifanya hzo Mambo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…