Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

To each their own....

(Mimi ni mfuasi wa Logic) na logically ukiamini kitu unapata confidence na confidence ni hatua moja ya kufanikiwa... ila utashangaa mtu anamshukuru Mungu kwa kumsaidia kwenda kuiba (kwamba aliomba akafanikiwa) Sasa unashangaa huyu Mungu mpenda Mema kamsaidiaje huyu ?

In short ukifuata kanuni za kufanya kitu utafanikiwa tu (hata kama ni kuchinja au kuwanyonya wenzako) and that has nothing to do with any divinity
 
Ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia nyingine ya kuyaita mazuri yaje kwako, ni kuwa na furaha iliyojaa utulivu wa nafsi ,kujisikia raha ndani yako. Unajihisi umebeba hisia gani muda huu? As within so without .....All is love and all is abundance.
Nitaleta uzi mwingine utahusiana na nature versus nurture .......nature fulani inaweza ikasababisha uone kama umerogwa hapa duniani ,hila ni nature ,au karma unalipa uliyoyafanya nyuma before reincarnation au unalipa karma za babu zako na jinsi ya kujiponya kutoka huku
Kwenye Nurture ....tutaangalia mazingira yanavyoweza kukuathiri ukawa kama umefungwa ni kutegemeana unaishi na watu wa energy gani ,iwe mbaya au nzuri ,ukiwa na miunganisho mibaya ( energy vampires) utateseka sana ,sasa Kuna njia ya kujua Kama watu ulionao kwenye mizunguko yako ni watu sahihi au inabidi uwaachilie kwa sasa ,kuanzia marafiki hata ndugu hata wapenzi wako unaosex nao ,wamebeba nishati gani? So kuwa tayar kwa somo lingine la kuachia energy mbaya na kukaribisha energy nzuri ,iwe unalipia karma ,laana au energy uliyoitoa kwenye mazingira
 
Nakuelewa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanta orange ?

Hizi Mambo ni ngumu watu kuelewa ikiwa bado hujaamka kiroho ni ngumu kuelewa haya mambo ,hii ni njia Bora sana kupambana na negative energy ..... Baadhi ya njia nyingine ni Kama
1 .chumvi ya mawe
2.Mkaa
3.Soda ya Fanta orange
4.Magadi.
 
waiting
 
😂😂naijua hiyo......kwa jinsi wabongo tulivyo wabinafsi na uhakika kama ingekuwa inakufanya ushinde betting kweli usingesema
 
[emoji23][emoji23]naijua hiyo......kwa jinsi wabongo tulivyo wabinafsi na uhakika kama ingekuwa inakufanya ushinde betting kweli usingesema
Haikufanyi ushinde betting ,sema nyota yako inabaki normal ,kwahyo kushinda na kutoshinda ni mtu na mtu ,inategemea umekuja kutimiza kusudio gani hapa duniani ,kwahyo mm kunywa na kushinda betting ni Kama Mimi ,wewe waweza kunywa ukaendelea kutimiza makusudio yako mengine ,ambayo kipindi unaletwa Duniani uliamriwa uje uyatimize before reincarnation
 
[emoji23][emoji23]naijua hiyo......kwa jinsi wabongo tulivyo wabinafsi na uhakika kama ingekuwa inakufanya ushinde betting kweli usingesema
Kwaiyo waweza kunywa ukafunguliwa kwa njia nyingine sio kushinda betting ,inategemea na kusudio lako uliloletwa duniani kuja kutimiza ,waweza kunywa ukawa boss sehemu ,biashara yako ikawin sio lazima betting ,utakunywa mkojo ubeti kila siku uliwe ,kumbe njia yako sio hyo ,acha nature iamue ,utafunuliwa kwa njia nyingine tofauti na niliyopitia mimi.kila mtu ana njia yake ,hope umeelewa.
 
sawa mkuu....acha watu wanywe mikojo🙌
 
Daah hongera sana mkuu....kwa kutambua kusudio lako hapa duniani ni kushinda betting👍
 

Wengine choo na bafu ndo hiyo hiyo inakuaje?
 
mkuu mbona hili swali hujibu naona member zaidi ya mmoja wanauliza ila hutoi jibu na inatugusa wengi ..swali "vipi sisi tunaotumia choo na bafu vipo sehem moja , yani sink la choo na pembefu ile shower yakuogea ndio hatuna bahati tena" nawasilisha ..
 
mkuu mbona hili swali hujibu naona member zaidi ya mmoja wanauliza ila hutoi jibu na inatugusa wengi ..swali "vipi sisi tunaotumia choo na bafu vipo sehem moja , yani sink la choo na pembefu ile shower yakuogea ndio hatuna bahati tena" nawasilisha ..
Tafuta chemba nyingine mkuu! hata nje ogea kikubwa isiwe na choo.

Wataalamu wa mambo wanasema choo na mambo hayo huwa haviendani kabisa.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
mkuu mbona hili swali hujibu naona member zaidi ya mmoja wanauliza ila hutoi jibu na inatugusa wengi ..swali "vipi sisi tunaotumia choo na bafu vipo sehem moja , yani sink la choo na pembefu ile shower yakuogea ndio hatuna bahati tena" nawasilisha ..
Kikishakuwepo choo inakuwa haiwezekani tena .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…