MkojoTafuta chemba nyingine mkuu! hata nje ogea kikubwa isiwe na choo.
Wataalamu wa mambo wanasema choo na mambo hayo huwa haviendani kabisa.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkojoTafuta chemba nyingine mkuu! hata nje ogea kikubwa isiwe na choo.
Wataalamu wa mambo wanasema choo na mambo hayo huwa haviendani kabisa.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hii dunia bhana ina maarifa mengi yaliyojificha. Kuna kipindi niliwahi pata vifungo vya kichawi, nikawa naenda kinyume na dunia inavyotaka. Basi, baada ya kupambana muda mrefu bila kupona, nilikutana na rafiki yangu mmoja ambaye tulikuwa tumepotezana muda mrefu baada ya kuwa tumeachana 823 KJ, Msange JKT. Basi, yule ndugu yangu alinambia tiba ya haya mambo yote ni mkojo wa asubuhi ukifanya kwa imani.
Jamaa yangu alinielezea kwamba ukiamka asubuhi kabla hujaongea na mtu yoyote ule mkojo wa kwanza wa asubuhi kabla hujaongea na mtu yoyote, hakikisha unauweka kwenye chombo unanuia kuondoa mabaya, yaani vifungo, laana, na huku unanuia ukuletee mazuri, then unakunywa kidogo, mwingine unaobaki unaweka kwenye maji huku ukinuia unaenda kuoga, na ukimaliza haujikaushi kwa manuizi, kwa siku saba mfululizo.
Basi, zilikuwa hazijafika hizo siku saba. Mambo yalianza kufunguka, sehemu ambazo nilikuwa nimeomba kazi bila mafanikio nikaanza kuitwa hadi za Serikali ni, mpaka nikawa na uchaguzi wapi niende. Kunywa mkojo ule kulifanya niharishe na kutapika uchafu mwingi sana.
Katika kipindi hicho cha dozi ya mkojo nilishangaa naanza kukubalika sana kwa watu katika mtaa wetu, kitu chochote kilichotaka kufanyika ilikuwa lazima nihusishwe, yaani ile nafsi ya kutambulika kwa watu ikawa kubwa. Kingine katika kipindi natumia dozi ya mkojo, wale watu walionifanyia ubaya nilikuwa nawaota ndotoni napambana nao, nawashinda mpaka muda mwingine nilikuwa nikisema sasa hamwezi kuniroga tena, au nilikuwa naota wananifukuza mbio na kuwaacha huku nikiwatambia na kauli ya hamniwezi tena hata mfanyeje.
Kitu kingine katika siku ya tatu ya dozi ya mkojo nilikuwa addicted sana na betting, basi niliweza kuwin Perfect 12 ya Mbet milioni 125, ambayo ilifanya nifungue kampuni ya kukopesha na kutengeneza ajira kwa jamaa zangu, pamoja na uwakala wa huduma za kibenki na simu.
Kiukweli, tokea kipindi kile mpaka sasa, huwa natumia dozi ya mkojo nikiona mambo hayako sawa, na huwa inalipa. Pia, huwa najitibu wakati wa full moon, nitaelezea full moon huwa inanisaidia vipi kujitibu siku nyingine, kwa hiyo ni marufuku kwenda kwa waganga kwangu mimi. Pia, huwa nafanya meditation, na kamwe huwa siachi kufanya affirmation, yaani kushukuru kwa kile nilicho nacho na ambacho sina. Kuna nguvu kubwa katika kushukuru kwa ulivyo navyo na ambavyo hauna.
Hata YESU alitemea mate udongo,AKATENGENEZA TOPE akamponya KIPOFU.Nimekuelewa vzr sn mkuu
Ndo maana nikasema achana na mkojo ss .... meaning usiutegemee Tena,maana inaonyesha Bado unategemea
Hzo ishu ni spiritual things huwez elewa ukiwa bado hujafungua jicho lako la tatu ,ndo maana unasema hvo
Mtoa mada havuti bhangi.hata Mimi niliwahi kusikia sehemu zaidi ya tatuMkuu nielekeze unapo nunua bhangi Yako ... Maana hii IPO tofauti na ya huku kwetu
Sasa nikijimwagia asubuhi na mkojo Ina maana sitaoga Tena mpaka kesho???Pia usitumie sabuni ,jimwagie tu na usipanguse maji yakaukie ,fanya halafu urudi na ushuhuda hapa na tabasamu la ushind
Ee ila amesema ule mkojo unachanganya na maji unayaoga bila sabuni. C ivyo mkuu Mkurya mweupeSasa nikijimwagia asubuhi na mkojo Ina maana sitaoga Tena mpaka kesho???
Akikujibu unitagSasa nikijimwagia asubuhi na mkojo Ina maana sitaoga Tena mpaka kesho???
Unaoga tu kawaida jion kwann usioge ,ishu ni maji yakaukie ,unaweza kuoga mkojo saa 12 asubuh ,saa sita mchana ukaoga na sabuni ,sio kwamba ni kuoga mkojo tu basSasa nikijimwagia asubuhi na mkojo Ina maana sitaoga Tena mpaka kesho???
NdioEe ila amesema ule mkojo unachanganya na maji unayaoga bila sabuni. C ivyo mkuu Mkurya mweupe
[emoji106][emoji106]Ndio
Kwakuwa kusudio langu ni hilo , nitaelezea namna ya kufanya manifestation , affirmation ,na vitu gani vya kufanya kipindi cha full moon ili upandishe energy yako au chaji yako ,kwenye full [emoji281] moon ndo muda sahihi wa kuachilia Mambo yote mabaya ambayo hayakunufaishi tena ,na kupokea Mambo yote mazuri ........Nchi nyingine huwa wanasherekea kabisa siku ya full moon ,ni kipind Cha kuchaji energy zako ...........matambiko mengi ambayo huwa yanafanyika wakati wa full moon huwa yanafanya kazi kwa asilimia kubwa ..... ....Sijui kuhusu mkojo ila hayo mengine kuhusu Full moon ,Manifestation,affirmation ni kweli kabisa
Anajizungusha sana kujibu hili swalimkuu mbona hili swali hujibu naona member zaidi ya mmoja wanauliza ila hutoi jibu na inatugusa wengi ..swali "vipi sisi tunaotumia choo na bafu vipo sehem moja , yani sink la choo na pembefu ile shower yakuogea ndio hatuna bahati tena" nawasilisha ..
Nishajibu haiwezekani ,pasiwepo na choo kabisa ,hapo ni kutafuta alternative nyingineAnajizungusha sana kujibu hili swali