Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

Njia nyingine ya kuyaita mazuri yaje kwako, ni kuwa na furaha iliyojaa utulivu wa nafsi ,kujisikia raha ndani yako. Unajihisi umebeba hisia gani muda huu? As within so without .....All is love and all is abundance.
Nitaleta uzi mwingine utahusiana na nature versus nurture .......nature fulani inaweza ikasababisha uone kama umerogwa hapa duniani ,hila ni nature ,au karma unalipa uliyoyafanya nyuma before reincarnation au unalipa karma za babu zako na jinsi ya kujiponya kutoka huku
Kwenye Nurture ....tutaangalia mazingira yanavyoweza kukuathiri ukawa kama umefungwa ni kutegemeana unaishi na watu wa energy gani ,iwe mbaya au nzuri ,ukiwa na miunganisho mibaya ( energy vampires) utateseka sana ,sasa Kuna njia ya kujua Kama watu ulionao kwenye mizunguko yako ni watu sahihi au inabidi uwaachilie kwa sasa ,kuanzia marafiki hata ndugu hata wapenzi wako unaosex nao ,wamebeba nishati gani? So kuwa tayar kwa somo lingine la kuachia energy mbaya na kukaribisha energy nzuri ,iwe unalipia karma ,laana au energy uliyoitoa kwenye mazingira

Duh
 
Hii dunia bhana ina maarifa mengi yaliyojificha. Kuna kipindi niliwahi pata vifungo vya kichawi, nikawa naenda kinyume na dunia inavyotaka. Basi, baada ya kupambana muda mrefu bila kupona, nilikutana na rafiki yangu mmoja ambaye tulikuwa tumepotezana muda mrefu baada ya kuwa tumeachana 823 KJ, Msange JKT. Basi, yule ndugu yangu alinambia tiba ya haya mambo yote ni mkojo wa asubuhi ukifanya kwa imani.

Jamaa yangu alinielezea kwamba ukiamka asubuhi kabla hujaongea na mtu yoyote ule mkojo wa kwanza wa asubuhi kabla hujaongea na mtu yoyote, hakikisha unauweka kwenye chombo unanuia kuondoa mabaya, yaani vifungo, laana, na huku unanuia ukuletee mazuri, then unakunywa kidogo, mwingine unaobaki unaweka kwenye maji huku ukinuia unaenda kuoga, na ukimaliza haujikaushi kwa manuizi, kwa siku saba mfululizo.

Basi, zilikuwa hazijafika hizo siku saba. Mambo yalianza kufunguka, sehemu ambazo nilikuwa nimeomba kazi bila mafanikio nikaanza kuitwa hadi za Serikali ni, mpaka nikawa na uchaguzi wapi niende. Kunywa mkojo ule kulifanya niharishe na kutapika uchafu mwingi sana.

Katika kipindi hicho cha dozi ya mkojo nilishangaa naanza kukubalika sana kwa watu katika mtaa wetu, kitu chochote kilichotaka kufanyika ilikuwa lazima nihusishwe, yaani ile nafsi ya kutambulika kwa watu ikawa kubwa. Kingine katika kipindi natumia dozi ya mkojo, wale watu walionifanyia ubaya nilikuwa nawaota ndotoni napambana nao, nawashinda mpaka muda mwingine nilikuwa nikisema sasa hamwezi kuniroga tena, au nilikuwa naota wananifukuza mbio na kuwaacha huku nikiwatambia na kauli ya hamniwezi tena hata mfanyeje.

Kitu kingine katika siku ya tatu ya dozi ya mkojo nilikuwa addicted sana na betting, basi niliweza kuwin Perfect 12 ya Mbet milioni 125, ambayo ilifanya nifungue kampuni ya kukopesha na kutengeneza ajira kwa jamaa zangu, pamoja na uwakala wa huduma za kibenki na simu.

Kiukweli, tokea kipindi kile mpaka sasa, huwa natumia dozi ya mkojo nikiona mambo hayako sawa, na huwa inalipa. Pia, huwa najitibu wakati wa full moon, nitaelezea full moon huwa inanisaidia vipi kujitibu siku nyingine, kwa hiyo ni marufuku kwenda kwa waganga kwangu mimi. Pia, huwa nafanya meditation, na kamwe huwa siachi kufanya affirmation, yaani kushukuru kwa kile nilicho nacho na ambacho sina. Kuna nguvu kubwa katika kushukuru kwa ulivyo navyo na ambavyo hauna.
Kwahiyo tunywe mkojo ndiyo tuka Bet..?
 
swali jengine mkuu ;

-kwenye kuogea ni vizuli kuchanganya chumvi na maji au mkojo na maji , na ni katika ratio gani ??

-mkojo unaosema tunywe ule wa kwanza , kiasi gani inatakiwa , au ni kidogo tuu ??

-Mimi binafsi nitaoga chooni and then iyo shughuli ya maji yenye mchanganyiko either wa chumvi au mkojo nitajimwagia gheto kwangu ..je sitakiwi kuoga na sabuni chooni kule ??

nawasilisha mkuu ..
Ni kidogo tu ,Kama kile kimfuniko Cha maji ya kunywa ,ukiogea chooni unatumia sabuni ,then geto ndo ukijimwagia mkojo ukiwa na maji , usitumie sabuni. Jimwagie ukaukie
 
mkuu samahani tena ..vipi je , kwa mfano me ninatabia nikinywa maji basi nakojoa frequently so vipi kama niliamka zaid ya Mara tatu au hata nne kukojoa usiku na wa mwisho nikakojoa alfajiri , je huo mkojo ninao kuja kuamka nao maybe tuseme sa1 asubuhi , bado nao unakua na iyo nguvu ya kuponya ?? ..nawasilisha
Yes nguvu ipo kwenye mkojo wako wa kwanza baada ya kuamka hata Kama ulikojoa saa 11 alfajir ukarud ukalala ,ule utakaoamka ukawa nao ndo tiba ,hvo yaan
 
Hizi Mambo ni ngumu watu kuelewa ikiwa bado hujaamka kiroho ni ngumu kuelewa haya mambo ,hii ni njia Bora sana kupambana na negative energy ..... Baadhi ya njia nyingine ni Kama
1 .chumvi ya mawe
2.Mkaa
3.Soda ya Fanta orange
4.Magadi.
How to use hivo vitu
 
Utapeli unanukia hapa hakn short cuts kwenye maisha Wana wa Israel walitezeka miaka 430 jwangwani na Ni wanna wa mungu je wew Ni nani usitezeke
Utatapeliwa mkojo wako au ? au soda utakayonunua kutumia ? Anyway siuz mkojo wangu kwamba ndo unakutibu ,unajitibu wewe mwenyewe kwa kutumia mkojo wako ,usitegemee nitakuambia tuma hela nikutumie mkojo
 
Acha utapeli kijn hkn short kwenye maisha

Endelea kunywa mikojo ya asbh siku ukipatikana na kanza hyo milon 125 siyo kitu
Ukinywa mkojo sio kwamba ndo unapatia maisha ,mentality za vijana wengi wanawaza ukishatumia unapata utajiri ,utajiri unaamuliwa na nature na nurture ....mkojo ni tiba ya nguvu hasi ,haihusiani lolote na kupata mzunguko mfupi wa maisha.
 
Vipi hayo masual mengin chumv na mkaa unitag asee
 
Hii dunia bhana ina maarifa mengi yaliyojificha. Kuna kipindi niliwahi pata vifungo vya kichawi, nikawa naenda kinyume na dunia inavyotaka. Basi, baada ya kupambana muda mrefu bila kupona, nilikutana na rafiki yangu mmoja ambaye tulikuwa tumepotezana muda mrefu baada ya kuwa tumeachana 823 KJ, Msange JKT. Basi, yule ndugu yangu alinambia tiba ya haya mambo yote ni mkojo wa asubuhi ukifanya kwa imani.

Jamaa yangu alinielezea kwamba ukiamka asubuhi kabla hujaongea na mtu yoyote ule mkojo wa kwanza wa asubuhi kabla hujaongea na mtu yoyote, hakikisha unauweka kwenye chombo unanuia kuondoa mabaya, yaani vifungo, laana, na huku unanuia ukuletee mazuri, then unakunywa kidogo, mwingine unaobaki unaweka kwenye maji huku ukinuia unaenda kuoga, na ukimaliza haujikaushi kwa manuizi, kwa siku saba mfululizo.

Basi, zilikuwa hazijafika hizo siku saba. Mambo yalianza kufunguka, sehemu ambazo nilikuwa nimeomba kazi bila mafanikio nikaanza kuitwa hadi za Serikali ni, mpaka nikawa na uchaguzi wapi niende. Kunywa mkojo ule kulifanya niharishe na kutapika uchafu mwingi sana.

Katika kipindi hicho cha dozi ya mkojo nilishangaa naanza kukubalika sana kwa watu katika mtaa wetu, kitu chochote kilichotaka kufanyika ilikuwa lazima nihusishwe, yaani ile nafsi ya kutambulika kwa watu ikawa kubwa. Kingine katika kipindi natumia dozi ya mkojo, wale watu walionifanyia ubaya nilikuwa nawaota ndotoni napambana nao, nawashinda mpaka muda mwingine nilikuwa nikisema sasa hamwezi kuniroga tena, au nilikuwa naota wananifukuza mbio na kuwaacha huku nikiwatambia na kauli ya hamniwezi tena hata mfanyeje.

Kitu kingine katika siku ya tatu ya dozi ya mkojo nilikuwa addicted sana na betting, basi niliweza kuwin Perfect 12 ya Mbet milioni 125, ambayo ilifanya nifungue kampuni ya kukopesha na kutengeneza ajira kwa jamaa zangu, pamoja na uwakala wa huduma za kibenki na simu.

Kiukweli, tokea kipindi kile mpaka sasa, huwa natumia dozi ya mkojo nikiona mambo hayako sawa, na huwa inalipa. Pia, huwa najitibu wakati wa full moon, nitaelezea full moon huwa inanisaidia vipi kujitibu siku nyingine, kwa hiyo ni marufuku kwenda kwa waganga kwangu mimi. Pia, huwa nafanya meditation, na kamwe huwa siachi kufanya affirmation, yaani kushukuru kwa kile nilicho nacho na ambacho sina. Kuna nguvu kubwa katika kushukuru kwa ulivyo navyo na ambavyo hauna.
[emoji2][emoji2]Tabibu Loisi amewaharibu watu aisee
 
Hii ni muda wowote tu ukiamka ,full moon huwa inahusiana na kuachilia na kuaffirm , nitaelezea siku nyingine . Pia mkuu umenisaidia sana mimi sio mganga kwamba naomba hela nitibu ,hamna nimeshare elimu niliyopata ikanisaidia kabisa na nikaiamini ,kwahyo uamuzi ni wadau kuzingatia au kuacha
Kwa hiyo hayo makojo ni Kila siku unakujoa na kunywa au unayahifadhi hayo hayo ya siku moja mana yananuka ujue
 
Back
Top Bottom