Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Ata single mama hawezi kukubali tena anaweza kukwambia nitakuvulia nguo nikulaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mimi na kisa cha single maza alimkatalia mwanae katu katu asioe single maza jamaa alikuwa akimpenda Maza alileta ugomvi wa kutosha wakafikia kutamkiana kama utamuoa huyo single Maza basi kuanzia leo wewe sio mwanangu tena.

ukweli ni kwamba single maza wanachangamoto kubwa mno kwa mwanzoni mapenzi yakiwa mapya huwezi kuona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mama yoyote yule anayemtakia mwanae mema atakubali huo ujinga wakuoa single mama.
 
hahahah hakika atajiua! huu ni ukweli kabisa nimeshuhudia kwa jamii nyingi sana hawako tayari kijana aoe single maza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We fala hapa umeandika kitu cha maana, kumbe watu wa Kahama sometimes wana akili za kuja mjini.
 
Reactions: 511
uamuzi

akaja

sex

Hakaniakikishia
akanihakikishia

aliyenushauli
aliyenishauri

nimelizaka
nimeridhika

akamuchukua
akamchukua

utafikili
utafikiri

kuanzia

hakafanana
akafanana

anaangaika
anahangaika

kulikoni

Dada za jamaa
dada wa jamaa

nilisafili
nilisafiri

akalopoka
akaropoka

muda

nilirudi

akili

hayakuusu
hayakuhusu

huhusiki

kofi

asubuhi

akasema

asubuhi

akaamka

hamtaki

vitimbwi

dada za jamaa
dada wa jamaa

naangaika
nahangaika

simuitaji
simuhitaji

ulifikili
ulifikiri

hukufikilia
hukufikiria

kusuruhisha
kusuluhisha

uamuzi

uongo

fikiria

mitihani

husema
 

Kuna vitu huwez ku control kwakweli, kama hayo mawasiliano. Tokea mwanzoni angetakiwa asiingie kwenye ndoa na bidada alishaonywa
 

Sikuzote usiingie kwenye rel mtu ambae ametoka kwenye breakup hana hata mwezi, vichwa vyao huwa havitulii baada ya hapo na hawatoweza kukupenda not matter how utajitoa kwao
 
hahahah hakika atajiua! huu ni ukweli kabisa nimeshuhudia kwa jamii nyingi sana hawako tayari kijana aoe single maza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dem alipigwa mimba na jamaa, akawa anahangaika mwenyewe na mtoto wake baada ya jamaa kumwambia aendelee na maisha yake kwani yeye hana mpango wa kumuoa tena.
Dem aliumia sana lakini akaendelea na maisha kwa taabu sana. Ikatokea siku akaniambia anavyotamani kuolewa, nikamuuliza na nani? Akasema mwanaume yeyote, nikamwambia usi wish kama loser, lazima uwe na viwango vyako, ila nikamuonya kuwa ni vyema awekeze kwa mwanaume ambaye tayari kuna gap ya umri kati yao na jamaa awe ni mtu ambaye tayari alishakua na familia na sasa either mke wake amefariki au wameachana, dem aliikata hii, lakini baadaye akaanza kuikubali.

Aliidondokea mikononi mwa vijana wenzake kama wanne tofauti wote waliingia na gia ya kuoa wakamla wakasepa.
Baafaye alikuja kukutana na mtu ambaye tayari aliwahi kuwa na familia ila aliachana na mkeww na walikua na watoto. Huyo ndiye alikuja kumuoa na wanaendelea na maisha. Alikua anahisi mimi ndiye nilimchomeka yule jamaa kwake, maana nilivyomshauri ndiye mtu aliyekuja kukutana naye hadi wakaoana.
Kuna siku nilionana naye nilimtania kuwa kwa kuwa yeye amekua mke mwema na mtiifu kwa mume wake, itabidi amshauri mtoto wake aje kuoa single mother, aisee alikua anakunywa juice aliniangalia kwa utadhani juice imemkaba, aliganda kwa hasira kwa muda, lakini baadaye akacheka na kusema usianze kumnenea mikosi mtoto wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…