Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Ukitaka kuoa mwanamke mwenye mtoto nenda ukamuulize mama yako kwanza, maana na yeye ni mwanamke umsikie ushauri wake. Akikuruhusu basi oa.
Usimuulize baba, kamuulize mama. Hakuna mama atakayekuruhusu ufanye hilo. Jiulize kwa nini?
 
YAPO MENGI YALITOKEA SIJAELEZA MPAKA KUCHUKUA UHAMUZI HUO. NITAELEZA KATIKATI YA UZI.
Tunashukuru kwa haya uliyotueleza, wengi watakuwa wamejifunza.
a nikamtambulisha nikamwambi ukitaka kujua hali ya watoto wetu basi uongea na mke wangu sio mimi labda kuwe na ishu ya muhimu.
Uamuzi wa busara sana huu.
 
Kuna muda hapo katikati ya uzi nimeshakuzaba vibao vingi mno, maana kuna uzoba kibao ulikuwa nao...

Wewe sijui ni Muha au Msukuma, huwa mnasumbuliwa sana na wanawake, sijui sababu ni ipi haswa...
 
Yaani nilipofika hapo Kwa mama mkwe nikamdharau jamaa.

Sio Siri kama mama mkwe asingekula makofi siku hiyo hiyo ndio Binti Yao angerudi kwao
 
Saikolojia ya mwanamke ni tofauti sana na mwanaume. Mwanamke hadi anakuvulia nguo ujue kakupenda na sio kutamani. Kutoka kwe hii story huyo bi dada moyo wake ulikuwa kwa ex wake na aliingia kwenye ndoa na jamaa ikiwa kama kakurupuka bado moyo ulikuwa kwa jamaa ake wa kwanza.

Tatizo hukufata ushauri wa mama yako hapo mwanzo.
Ila nikupongeze kwa maamuzi uliyafanya mwishoni.
Umetuwakilisha vyema.
 
Huyo wife umesema alikuwa mfanyakazi wako wa dukani?
 
Ukitaka kuoa mwanamke mwenye mtoto nenda ukamuulize mama yako kwanza, maana na yeye ni mwanamke umsikie ushauri wake. Akikuruhusu basi oa.
Usimuulize baba, kamuulize mama. Hakuna mama atakayekuruhusu ufanye hilo. Jiulize kwa nini?
Ukikuta mama mwenyewe alikuwa single maza hapo vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…