sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Katika hii dunia ya sasa vilevi ni vingi mno na unahitaji umakini mkubwa sana maan aukangukia kwenye uraibu basi utapoteza vingi sana.
Nikiwa kama kijana, nimekuwa mmoja wapo waliokumbwa na uribu wa vilevi vitatu ambavyo ni Punyeto, betting na sigara.
PUNYETO - Nlianza kimasihara masihara kupiga wakati nipo form 2, hapa ilikuwa kwa siri kidogo maana sikuwa na privay sana, ila nilipoingia form 5 hadi 6 abia ilizidi maana chumba nacholalala niliuwa peke yangu, kabla sijalala lazima nistue kamoja, Nilipoingia chuo nilikuwa nina madem kitu kilichokua mbadala wa hii tabia lakini bado kuna wakati inatokea dem hapatikani, tumezinguna ama yupo period hapo nlikuwa narudi kunyetoka tu, Uraibu ndio ulipungua ila sikuuacha, nlivomaliza chuo nikaanza kukerwa na hii tabia, nikaanza kujaribu kuacha kwa wiki, yani siku ya 4 gari limewaka, nikijaribu kuacha kwa mwezi hata simalizi wiki 2 kitu imo, nilichofanya ni kuchukua maamuzi) toka moyoni kabisa nikasema kuanzia sasa basi, sitaki tena yani, sio kwa wiki au mwezi bali sitaki tena, mkataba umeisha yani, Kweli Nikaweza na mpaka leo hii nina miaka 32 imepita miaka 6 nmeacha huu uraibu.
PICHA ZA NGONO / VIDEO ZA X - Hii nayo iliungana na punyeto, nlikuwa napenda kucheki hizi video wkati napanda na kushuka mnazi, nilipoacha nyeto na hii addiction ilikatika, hii addiction inaharibu sana akili hii, hata dem wako akija unaanza kuvuta hisia kwamba unafanya tendo na muigizaji uliemuona kwenye video, hizi video ukicheki unapandwa na nyege kifuatacho hapo kama huna mpenzi karibu lazima utanyetoka tu ama kwenda kutafuta kahaba (japo mimi sikua mdau wa makahaba wale wanaojiuza barabarani)
BETTING - Hii nayo ilinitesa sana, nilianza kujifunza nikiwa chuoni, nilikuwa naweka bajeti kabisa ya mwezi inakuwa maalum kwajii ya kubeti tu, kiufupi ilinichapa na kunigaragaza, Hasa pale nikibeti timu kama 5 na 1 tu ikachana mkeka basi nlikuwa najipa matumaini sana kwamba "imebaki kidogo tu" nikawa najipa matumaini nisikate tamaa na mimi ntasinda tu kama rafiki zang kadhaa kuna moja aliweka buku 2 akachapa laki 4 yani kila nilipokua nikimfikiria napata mzuka wa kubeti japo nae hadi kashinda hio laki 4 alishaliwa sana, Nililiwa sana kuzidi nlichopata na siku nikipata pesa inarudi kwenye kubeti, kiufupi sikumbuki nlichfanya cha maana kwa pesa nlizowaji kushinda, nikachukua uamuzi wa kuacha ila kila nikijaribu uacha kwa siku kadhaa najikuta nimerudi, Ila niliposema SASA BASI!! nikachukua maamuzi) toka moyoni kabisa ndio ikatoka hivyo, kwa sasa sio mraibu tena, Tangu niacha mwaka unaweza kuisha sijabeti ama nikibeti ni mara moja au mbili tu kwa kujifurahisha tu.
SIGARA - Hii ndio imenifanya niandke huu uzi, Leo ndio natimiza mwaka moja tangu niiache kabisa, Asikwambie mtu sigara ni kazi sana kuiacha (ni rahisi kuacha bangi kulik kuacha sigara), Nilianza kidogo kidogo ila nikajikuta nmeanza kupiga nne hadi tano kila siku, yani asubuhi, mchana, jioni na usiku, Naweza hata kuahirisha kwenda sehemu muhimu ilimradi nivute tu sigara, nilijaribu kuiacha mara kibao ila ilikuwa kazi sana, kama kawaida kuna siku nikaamua tu kusema kwamba sasa basi!! nikachukua maamuzi) toka moyoni ndio nikaiacha moja kwa moja, Leo natimiza mwaka moja sina habari na sigara.
Ushauri wangu, kama unataka kuacha uraibu, acha moja kwa moja tu, usiseme eti unaacha kwa mwezi au wiki, nakwambia utarudi tu, tena kwa spidi ya ajabu sana, ukitaka uache uraibu wewe chukua maamuzi) toka moyoni kabisa panga kuacha moja kwa moja tu.
Uraibu ni gereza ambalo ambalo mraibu ana funguo za kutoka nje, ni swala ya yeye tu kuamua kufanya maamuzi awe huru.
Kwa sasa uraibu wangu ni kumcha Mungu, kusoma vitabu, maendeleo na familia yangu (mke wangu na watoto wawili)