Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole dearMie nna uraibu wangu huo.....sitautaja hapa.
Ila kwa pamoja naomba mniombee niuache.
Itabidi na mimi niamke nisali rakaa tain nimuombe Mungu Niachane nao [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Uraibu gani? weka wazi usaidiwe, uzuri wa jf hatujuani.Mie nna uraibu wangu huo.....sitautaja hapa.
Ila kwa pamoja naomba mniombee niuache.
Itabidi na mimi niamke nisali rakaa tain nimuombe Mungu Niachane nao [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hakunaga dawa ya kuacha uraibu nzuri kama maamuzi binafsi.Nasikia kuna dawa ya kihaya,ukinywa ukirudia Pombe basi umeshindikana
Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
Urabu wako tafadhali?Pole dear
Ahsante mpnz.Pole dear
Pole mpendwa, inawezekana, kikunwa ni ile ya dhati(maamuzi) toka moyoni kabisa.Mie nna uraibu wangu huo.....sitautaja hapa.
Ila kwa pamoja naomba mniombee niuache.
Itabidi na mimi niamke nisali rakaa tain nimuombe Mungu Niachane nao [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hata Sio kitu cha aibu.Uraibu gani? weka wazi usaidiwe, uzuri wa jf hatujuani.
Mimi binafsi nlitaka kuficha huo uraibu wa punyeto kwa kuogopa kuchekwa ila nikaona kwani ntapungukiwa nini nikiweka wazi.
In sha Allah. Ntaamka usiku na mie niswali niweze kuacha.Pole mpendwa, inawezekana, kikunwa ni ile ya dhati(maamuzi) toka moyoni kabisa.
Inshaallah, allah akufanyie wepesi..In sha Allah. Ntaamka usiku na mie niswali niweze kuacha.
We ni mtu wa lumbulumbu(kula vitu vidogo, kama chocolate, biskuti, bites bites n.k)!??Hata Sio kitu cha aibu.
Basi tu huwa nawaza kwa nini nashindwa kuacha.
Inakera..... kila siku kupoteza pesa 5-15elfu kwa vitu vya kijinga
Hata sijui jamaniUrabu wako tafadhali?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama umeacha kubeti lakini bado unakunywa bia na unahonga basi hujafanya la maana zaidi ya kujaza maji kwenye tenga
Come back dude
View attachment 1824811
Niambie nikupe tiba... 😉Hata sijui jamani
Hapooo.We ni mtu wa lumbulumbu(kula vitu vidogo, kama chocolate, biskuti, bites bites n.k)!??
Pole... Afya yako ipo matatani kivipi!? Hauli vizuri sababu ya hizo lumbulumbu hivyo afya inazorota(lumbulumbu inamfanya mtu awe aio mlaji, ama awe mnene kupitiliza kwa kula kula hovyo vitu vya sukari) , ama hizo lumbulumbu zinakuletea maradhi kama meno ama kisukari(allah akuepushe)Hapooo.
It costs me. Afya yangu ipo matatani [emoji22]