Ushuhuda: Namna nilivyoacha punyeto, sigara na betting moja kwa moja

Mmmmh we hata familia e
Waweza iweka bond

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji1787] We acha tu ndugu yangu, lakini ndio hivyo nimefanikiwa kuiacha..

Kitu pekee siwezi kuacha, hii ni starehe yangu mpaka kifo ni kwichi kwichi, hapa nimemueleza tu mama watoto mtarajiwa kuwa mumeo hii ndio starehe yangu, sio kuchepuka, la hasha, ila nikulitenda like tendo, hivyo kama si mpenz wa hii shughuli ajiandae kisaikolojia japo naamini tukifanya atanogewa tu.. Hivyo asishangae yupo jikoni akapelekewa moto, bafuni n.k

Wataalam na wazoefu waliokuwa ndani ya ndoa wananiambia nitaizoea, sasa sijui kwa muda gani, sababu nishawahi kuishi na mwanamke takriban mwaka na ushehe na speed haikuwa imepunguwa... Kila mara tukitenda tendo pendwa ni kama tumeanza jana yake.
 
Hahaha kwahiyo sisi ubonge wetu ni wa nini
 
Ahsante kwa ushauri.

Mie ndio maradhi yangu hayo.

Ila uraibu wangu upo kwenye sweets. Hasahasa chocolates. Sasa naona nnakoelekea sipo hasa kila umri ukipanda.

Kuna kisukari, weight gaining, kuharibika meno... ALLAH ATUEPUSHIE

Natamani sana kuacha ila nashindwa. Nishajaribu mara kadhaa naweza kufika kama mwezi then naanza upya kwa speed ya rocket [emoji23].

Na huwa napata tabu siku za mwanzo nikianza mikakati. Huwa naumwa na kichwa....akili inaniparaganyika.

Nataka nianze hapo kwenye tende. Nimeambiwa na korosho na raisins (zabibu kavu) pia ni nzuri.
 
Nilichogundua mapenzi ni betting pia na mbaya zaidi nimetoka kupunwa almost 15M na yote heri uzuri nimebaki na uzima, life goes on.
 
Haoo kwenye meno hapo.. Nishakuwa nusu kibogoyo[emoji23], nishatoa zaidi ya meno ma3. [emoji849], na sasa 1 lishaamza nisumbua, tena ni la juu[emoji19]

Inawezekana, kikubwa ni kuikandamiza nafsi, unaootaka kuachana na uraibu wowote, si jambo la mchezo mchezo, la sivyo itakuwa mwendo wa kupumzika mwezi ukirudi, unarudi na speed kubwa unakula mara 2 ya ulivyoacha huo mwezi, jaribu kuanza kupunguza taratibu taratibu.. Unajiwekea malengo mwezi huu nitakula kiasi kadhaa unaenda unapunguza taratbu hatimae mambo ya kitoto kushney maregea[emoji23]..

Yes, jaribu kutembea na hivyo vitu, allah atakusaidia inshaallah
 
Sure. [emoji106]

Mie meno Alhamdulillah. Sijawahi kuumwa na jino hata kwa bahati mbaya. Meno yote yapo kamili tena mazima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tatizo weight Kupungua ndio mtihani. Na nikianza mkakati naumwa nakuwa kama teja [emoji22]. Nakuwa mnyongeee.

Inataka moyo
 
Na mwili ukija kuutoa ni mtihani..

Jitahidi, kila kitu dhamira tu, km umedhamiria kweli, utaweza.
 
Hatari sana,hakika ni zoezi gumu.
 
Hakunaga dawa ya kuacha uraibu nzuri kama maamuzi binafsi.

Walevi wamenyweshwa hadi maziwa ya nguruwe wakiamini yatasaidia ila wapi, kina ray c alilipiwa milioni 100 huko akatibiwe nje ila alivyorudi akaanza upya, kilichomuokoa ni maamuzi tu...
Ubarikiwe mkuu
 
Ila sigara zina changamoto sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…