Ushuhuda: Nilihisi nina upungufu wa nguvu za kiume nilikula sana karanga mbichi, mtindi, vipande vya nazi na mhogo bila mafanikio, NIMEPONA !!

Unakaa miezi sita bila sex wala masturbation, hii inatibu erectile dysfunction zote
Ila inahitaji roho ngumu kuvumilia nyege na mabao usiku
Hii ngumu kumesa aisee🤣

Na vp kama nikifanya sex Kwa mwezi mara moja au mbili vp nitafanikisha
 
inaitwaje na inauza wapi mbona itakuwa poa nikiipata
Unakaa miezi sita bila sex wala masturbation, hii inatibu erectile dysfunction zote
Ila inahitaji roho ngumu kuvumilia nyege na mabao usiku
 
Ukosefu wa nguvu za kiume haujawahi kuwa tatizo la kiafya kimwili, kwa asilimia kubwa ni tatizo la kiakili
 
Back
Top Bottom