Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwani mzee si kasema kuwa ameishinda?Inabidi tuangalie faida na hasara kwa kulipaka rangi tatizo (covid 19 )
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wewe unasema Goba. Mimi hadi Chalinze. Nikataka kuendelea hadi Moro wasamaria wema wakaingilia kati.
COVID sucks!
Kwamba ulipandwa na maruhani ukajikuta unakwenda mbele tu au ulikosa nauli ya kwenda moro?Wewe unasema Goba. Mimi hadi Chalinze. Nikataka kuendelea hadi Moro wasamaria wema wakaingilia kati.
COVID sucks!
[emoji23][emoji23]Wewe unasema Goba. Mimi hadi Chalinze. Nikataka kuendelea hadi Moro wasamaria wema wakaingilia kati.
COVID sucks!
Usikute una PASSO unadai unamiliki GariHakika maisha yana changamoto. Miaka 6 nyuma nikiwa katika harakati za kutafuta kazi Dar es salaam nikitokea mkoa nakumbuka nimewahi kuswaga mguu Posta- Goba baada ya mfuko kukosa mia 4 ya daladala.
Hii ilijitokeza mara nyingi tu. Unatembea mpaka unajiona huna akili au hauko katika hesabu ya walioumbwa na Mungu. Mwendo wa masaa 3-4. Na kinachoumiza zaidi road magari kama yote.
Nimewahi kulala nje siku moja baada ya kukosa kambi siku hiyo. Kuna broo mmoja ndo alikuwa akinichana live kuwa mimi sio mjanja ndio maana naishi kwa mdogo wangu. Sasa naishi kwangu, nina gari, pikipiki na nitafanya kitu kingine within this year.
Kuna vitu ukikumbuka unapata hudhuni sana.
kazi ya zege na unakosa, daah haya maishaπ‘π‘π‘π‘π‘π‘Kutoka Kisenvule mpaka Kimara mwisho kwa wiki mbili mfululizo kufukuzia kazi ya zege! We acha tu!