Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kweli na tatizo nyama ya kuku ni anasa kwa watanzania,ukiwafuga kibiashara ukifika sokoni lazima ulie
Wengi tunaishi nao kama pets unafurahi kuwaona lakini kibiashara ni kujitoa muhanga.Biashara ya kuku wa kienyej ni km kaukichaa fulan...unamfuga kuku kwa 9mths..ukimpelekea mtu wa bar hachukui..anakuambia kuku mdogo..kiupaja kidog..mayb uwe na jogoo..!kuku kienyej fuga kwa kula tu...labda ukubali wakae mwaka..π€π€
Wengi tunaishi nao kama pets unafurahi kuwaona lakini kibiashara ni kujitoa muhanga.
Na kuku walivyo watamu ndio maana mtu akichinjiwa kuku ni heshima kubwa sana kijamiiMie sijawah fikiria kufuga kibiashara kbs...kwanza siwez uza nyama mm..navyopenda kula
Dada ake; sijui umechanganya qoate. Comment yako ya kwanza ulisema una hamu ya kujifunza kilimo cha mboga mboga siku mmoja: Mimi ndio nikakukaribisha ruvu mashambani siku ukiitaji jifunza ama ona ukaribie.Sawa mna vifaranga vya kuku wa kienyeji???
Je vina chanjo?
Mnauzaje na vya Muda gani
Dada ake; sijui umechanganya qoate. Comment yako ya kwanza ulisema una hamu ya kujifunza kilimo cha mboga mboga siku mmoja: Mimi ndio nikakukaribisha ruvu mashambani siku ukiitaji jifunza ama ona ukaribie.
Alafu bei zako unazouzia zimekaaje ni kama zile za singida? Kuna kipindi nilipata tenda ya kuku 500 nefeland hotel kila mwezi,corner bar sinza napo kila siku waliniambia nipeleke 20 meanz 20*30=600. Na bado nilikuwa naendelea tafuta masoko/ sema nilivyofika site Dodoma,singida, kipindi icho walikuwa wamevuna mazao nikakutana na bei Kali ya kuku nikajikuta nashindwa endelea. Zile tenda nikaziachia ivi ivi.
Kipindi icho nilikula hasara Dada ake!Huwez kuafford hizo tenda best angu niamini
ukifika bar wanataka kuku walonona..
ss ww peleka kuku wadogo wanachukua kuki 10 tu..!ngumu kiafford..labda umpate meneja mwelewa achukue wote bila kuchek uzito wao
Kipindi icho nilikula hasara Dada ake!
Kila ukifika kwenye bar ama hotel unaambiwa tuletee sample wawili. Nawapeleka na lazima upeleke walionona kweli, tatizo bei zao sasa na zile unazoenda nunulia wewe kule site ndo changamoto inapokujia hapo.Mimi nilianza tafuta masoko hata kabla sijaenda singida na nilikuwa nafanikiwa sema kipindi icho singida walikuwa wamepata sana alzet na nafaka nyingine wakawa nao wanauza bei za dar elfu 10k mpaka 15. Nikajikuta nashindwa.
Lakini ukipata kuku wakubwa kwa elfu 8000_ 10000 isizidi hii. Kama ukiwa vizuri kwenye masoko utafanikiwa kuwanyang'anya tenda nyingi watu, sababu wewe utakuwa unauza kwa bei ya vunja bei kuliko wengine.
Daah sawaPines 7 to 12 yrs...
mitiki 7 to 10 yrs..hamjui tu...ukiwa na miti jua kbs 100% hutahangaika na ada za wanao kwa secondary..never ...utajenga bila stress...!
sio bar zote kweli unaweza peleka 20 daily. Ila kuna bar dar es saalam zinabishara In case of pale corner bar africasana bar ile kuna biashara kuna majiko makubwa yasiyo pungua 6 na kila jiko wanachoma kuku wakienyeji daily pale demand yao ni kubwa sana;Haya uliyoyaandika jitahidi kwa 99%uyafanyie kazi..uone km utaweza...!HUWEZ..labda km wanataka twice a month .sio per day..ngumu sana kuweza kupeleka kuku daily(kienyeji)..labda wawe 5...ila kuanzia 20 huwezii.utafeli sehem utaenda vizuri lazima utakwama oda zao...
sio bar zote kweli unaweza peleka 20 daily. Ila kuna bar dar es saalam zinabishara In case of pale corner bar africasana bar ile kuna biashara kuna majiko makubwa yasiyo pungua 6 na kila jiko wanachoma kuku wakienyeji daily pale demand yao ni kubwa sana;
Haha sasa mfanya biashara inabidi azurure kweli kupata sehemu kama izi na dar es salama sehemu zipo nyingi kwa mkoani ni changamoto kweli. Mchawi siku zote ni bei maana tenda wanakupati lakini wanakuambia utatuuzia kwa 12000 ama 11500 apo ndipo utapozikimbia izo tenda. Lakini walaji wa kienyeji Dada dar wapo wakutosha; maana Mimi uko nyuma nilishawahi zulula sana kwa ajili ya masoko yake bei zake sema ndo zinaumiza
Miaka 12 unasubiria mti ukue si unaweza kufa hapo katikati? π πPines 7 to 12 yrs...
mitiki 7 to 10 yrs..hamjui tu...ukiwa na miti jua kbs 100% hutahangaika na ada za wanao kwa secondary..never ...utajenga bila stress...!
Hahaha Mimi hii siwezi Fanya tena hiiπ π π all the best kaka...!
Miaka 12 unasubiria mti ukue si unaweza kufa hapo katikati? π π
Hahaha Mimi hii siwezi Fanya tena hii
Ila kwa Dada kama yule pale juu anayefuga za biashara.
Kama ni mzululaji vizuri kwa dar a naweza fanikiwa
10yrs kuna biashara nyingi tu unaikuza huku unakula hela. Kukaa miaka kumi unasubiri mti ukue si kazi ndogoBaba ana 76yrs amepanda mitiki 100eka (march 2019)...nilitamani nimuulize baba ww mzima kweli??bt nikahis anafanya kwa upendo wa wajukuu zake ww endelea kutaka hela za fasta...!mie namuiga aisee...ni mstaafu anaishi km Waziri vile .aliwekeza shauri zako
10yrs kuna biashara nyingi tu unaikuza huku unakula hela. Kukaa miaka kumi unasubiri mti ukue si kazi ndogo
Ha ha ha biashara ya kusubiri miti miaka 10 hapana aisee! Miaka yote hio unapalilia,unaprune,unanyunyuzia dawa?!Nimegundua ni easy sana...tatizo ushazoea biashara za uchuuziπ π