USHUHUDA: Raha na utamu wa mapenzi viko Tabora, hiyo mikoa mingine mnateseka sana

Wanalamba sana asali na wao wanakua na honey flavour
 
Naskia wanawekaga ugoro huko maeneo
 
Ndio Maana Mtu Akienda Ughaibuni Panaitwa Unyamwezi Hii Ndio Sababu Ughaibuni Kutwa Unyamwezi.

Unasikia Wanasema Msela Ameenda Unyamwezini Kumbe Kasepa Nchi Za Magharibi.

Itakuwa Zile Raha Za Huko Tabora Zilifananishwa Kuwa Zinapatikana Ughaibuni Tu.

Mtu Akisepa Kwenda US Unasema Ameenda Unyamwezini Si Kusema Ameenda Umasaini Au Uheheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…