USHUHUDA: Raha na utamu wa mapenzi viko Tabora, hiyo mikoa mingine mnateseka sana

USHUHUDA: Raha na utamu wa mapenzi viko Tabora, hiyo mikoa mingine mnateseka sana

Hakika mapenzi ya Tabora hawa wanawake wa kinyamwezi ni kiboko.

Kuishi ama kufika ama kupita Tabora ni raha sana, mapenzi tele na raha zake na utamu wa mapenzi ya Tabora hakuna mkoa pinzani.

Wanawake wa kinyamwezi na hata walofundwa unyamwezini ni watamu sana wanajua mpaka basi hadi wana utamu wa kukuficha.

Tabora ni raha, unafinywa kwa ndani, unabanwa miguu, unageukiwa na unabanwa miguu.

Inafika pahala mwanaume unabweka kisa utamu sijui wanaweka nini hawa wanawake.

Mimi Wadiz mkongwe yaani Baharia mtaalamu wa mapenzi ndio wa kulizwa vile na wanyamwezi mpaka nabweka kama mbwa. Sielewi sijui kuna kitu wanaweke si kwa utamu ule utadhani unaokwa na microwave duuh❤️❤️❤️💯💯💯🙏🙏🙏

Tabora ni noma Tabora ni hatari ni makao makuu ya Dunia ya mapenzi.

Daah aisee ni hayo tu ama kweli naguma!

Wadiz
Wanalamba sana asali na wao wanakua na honey flavour
 
Naskia wanawekaga ugoro huko maeneo
 
Ndio Maana Mtu Akienda Ughaibuni Panaitwa Unyamwezi Hii Ndio Sababu Ughaibuni Kutwa Unyamwezi.

Unasikia Wanasema Msela Ameenda Unyamwezini Kumbe Kasepa Nchi Za Magharibi.

Itakuwa Zile Raha Za Huko Tabora Zilifananishwa Kuwa Zinapatikana Ughaibuni Tu.

Mtu Akisepa Kwenda US Unasema Ameenda Unyamwezini Si Kusema Ameenda Umasaini Au Uheheni.
 
Back
Top Bottom