Ushuhuda: Tunampenda sana msaidizi wetu wa kazi za ndani, anatulipa wema

Mkuu kama uliyoongea siyo riwaya, basi wewe ni "mzungu".

Hakuna anayeweza kumthamini msaidizi kiasi hicho kama unavyofanya wewe, hakuna.

Sana sana mtu hata kama ana uwezo kifedha, akipata mfanyakazi ni manyanyaso tu kwa kwenda mbele na baadaye kuachana kwa lawama zisizokuwa na afya.

Ubarikiwe sana kwa kujaliwa kuwa na moyo huo wa utu.

Ila pamoja na hayo, acha kuchururuzikwa na udenda wa tamaa ya "figure" la mnyamwezi, utakimbiwa na mkeo.
 
Maelezo ni mazuri, lakini ukichunguza, unagundua kuna elements za sifa! Wewe ni kabila gani? Tuanzie hapo.
 
Aisee umenikumbusha mdada wa kazi aliyenilea toka utotoni mwaka1969 nikiwa na miaka 4 aliondoka kwetu baada tu ya mimi kuanza darasa la kwanza.
Huyu dada kwangu ni kama mama namuheshimu mno hadi leo nakwenda mtembelea mimi kama mtoto wake hapa Mwanza.
Baba yangu alimpeleka driving akawa ndio anatuendesha kwenda nursery school nilivyo oa akaja harusi yangu katika kulisha keki wazazi naye alikuwa pembeni mwa mama yangu.
Ni wachache wenye moyo kama wako mungu akujalie
 
mkuuu unavyoo msifia kuna siku utamla
 
Safi mkuu
 
Morogoro - Tabora nzega unapitiaje nzega?!
 
Yote hayo umfanyie kwa mshahara wa mwalimu na mfanyakazi wa umma?
 
Mkuu sii unipe mie huyo nioe kabisa.
 
Ahaaa, kumbe!
 
Tupo sana tu
Mtu anayekupikia na unamuachia nyumba na vitu vya thamani unaanzaje kutomthamini?
Lakini pia sikuwahi kuona wazazi wangu wakinyanyasa wafanyakazi na wote tulishiriki kazi za nyumbani sawa kwa sawa na huduma tulipewa sawa
 
CHAI! CHAI! CHAI!!!!
 
Ninaona unawekeza kwake zaidi ya kwa mkeo, my house girl my lover. Kumbe ukiajiri mtu mmoja unaweza ukamlipia NSSF! Sikujua hilo nilidhani lazima uwe na idadi kubwa kidogo.
 
Ivi kumbe Diipii weldi ni ya siku nyingi ivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…