The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Peace, (Mods naomba msibadili tittle ya uzi huu pia nitashukuru kama hamta uunganisa. Asante)
Wakuu, (hasa vijana) ardhi bado zipo nyingi sana maeneo tofauti na za kila aina, unapotaka kununua ardhi KAMWE usinunue ardhi yenye makaburi. Wenye makaburi wana haki na kwa hakika watakuja kuyatembelea makaburi yao na nawatakapo kuja wataweka maua kwenye ardhi yenye makaburi yao.
Hauta wazuia na ukijaribu kuwazuia utakua unakosea na hata hivyo hautafanikiwa kuwazuia. Juhudi za kuwazuia wasiyatembelee makaburi yao inaweza kuwachochea hata zaidi kuyatembelea mara nyingi zaidi.
Si mmeona kilichotokea kwa mwanaume aliye kaza fuvu na kumuoa Zari. Haya sasa baba watoto Diamond kaenda kuwatazama watoto na kisha kuspend usiku ndani ya nyumba na mzazi mwenzake kijana kaishia kulalama.
Japo ilishasemwa sana, sana tena sana lakini niseme tena kama mwanaume una akili timamu USIOE MWANAMKE ALIYEZALISHWA NA MWANAUME MWINGINE.
Kuna masingle mother ya jf hapa yatakuja kushupa ooh "mimi nikishaachana na mwanaume tumeachana" blah blah blah wewe kjifanye unajua sana kupenda HAKIKA UTASHANGAZWA.
Yani kitendo cha kumuoa tu kinamfanya huyo mwanamke yeye mwenyewe akudharau, kwamba umeamua kumuoa japo yeye ni used up yani inaonyesha hauna options na ni dhaifu.
"Wenye makaburi wana haki na kwa hakika watakuja kuyatembelea makaburi yao na watakapokuja wataweka maua kwenye ardhi yenye makaburi yao HAKIKA".