Ushuhuda wa dada yangu: Ukioa mdada wa chuoni ambae kwao anaweza kurudi kirahisi tegemea kusingiziwa unamfanyia ubaya akiona majukumu ya ndoa magumu


ukipiga stori na single moms kumi, ni wawili tu ndoa watasema kweli kuwa wanatumiwa hela ya matumizi ya mtoto
 
mambo yameandikwa na mtoa uzi
Hao ni wachache sana na uzuri ni kwamba kabla hujaolewa unakua ushayatambua majukumu mengi, nna amini huwa kuna muongozo mnapewa ya kufanya kama mke ndani ya nyumba.
 
Ujinga wake upo wapi sasa?,Au wewe ndio dada yake?.
 
Wewe umeoa ??
 
Ila tukiweka masihara kando, tunaopaswa kukataa ndoa ni wanawake.
binafsi sisapoti watu kugomea ndoa lkn huwa nadhani ndoa inamuheshimisha sana mwanamke so ntashangaa sana kama wanawake humu watagoma kuolewa
 
upo ndani ya mada lakini nilichangia kwenye ishu ya mume kutoa matumizi lakini mke kudai kuwa hapewi chochote.
Hivi huyo anaesema mwanaume amsaidie mkewe anajua majukumu ya mke na mume ktk nyumba. Kwa hiyo hata kufua mume afue mke akiwa amekaa anaangalia tamthilia kisa unamsaidia kazi yeye kachoka.

Mimi nakushukuru mleta mada kwa kutambua kuwa dada yako ni hovyo kabisa hafai kuwa mke bora kwa kujifanya kasoma. Analeta vidigrii vyake vya vyeti ktk ndoa. Tena km mmegundua yeye ndiyo ana makosa mtimueni hapo haraka aende kwa mumewe.

Mada za wanawake wasomi kuwa wasumbufu zilishaletwa hapa nyingi sijui kwa nini hawapitii humu. Wanajiona wasomi mwisho wa siku wanazeeka bila ndoa au ndoa zao kutodumu kwa sababu ya u-much know kisa vidigrii vyao vya kumeza madesa. Hovyo sana hawa. Mbona wanaume hawako hivyo hata km amesoma vipi bado ataoa darasa la saba na watazeeshana. Ubinafsi na jeuri ya haki sawa kwa jinsia ya KE vitawamaliza.
 
Sawa
 
Mambo mengine yashapitwa na wakati....kwanini huyo shemeji yako asinunue washing machine na geyser.

Kama anafanya kazi kumfulisha mwanamke....kuchemshiwa maji kila asubuhi kutesana. Hawezi kujichemshia maji?
 

We ni mpumbavu kabisa, hii inasaidia Dada zetu na pia sisi wanaume, Kama hutaki sikia, endelea na mambo yako, kwani kataja jina lako au Jina la mtu? We fala sana
 
Tatizo ni usawa wa kwenye theory wanazosoma, kuna jamaa alishaleta kisa humu kuwa alikua anamsaidia mkewe kazi kwakuwa alikua anawai kutoka kazini lakini siku akiacha mkewe anamlalamikia sana kwanini hajafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…