Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Pole yakeBasi pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole yakeBasi pole
😂 umewaza niniIla jamani twende mbele turudi nyuma...au basi, twendeni tu mbele
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huezi m-treat vibaya anybody ukitegemea atakupamba somewhere even if you were too good.l
Huyo bwana apart na hizo hela alipaswa amsaidie mkewe ahakikishe mkewe achoki sana
Kuna baadhi ya majukumu angegawa kwa housegirl mfano usafi wa nyumba in general huko room kwake ilibidi ndo awe anafanya mkewe
Kuhusu nguo zake hata housegirl anafua mbona ukitoa nguo sensitive ziingine apewe housegirl afue, mama akiwa home basi ndo walau afanye fanye kazi
Alichokosea ni kumfanyisha makazi mkewe ili hali sio a 'hous
ukipiga stori na single moms kumi, ni wawili tu ndoa watasema kweli kuwa wanatumiwa hela ya matumizi ya mtotoHapa ndio huwa nawashangaa baadhi ya wanawake, they are very busy kusambaza chuki dhidi ya mmewe kuanzia kwenye familia yake mpaka kwa mtoto anaekua. Huo muda wa kumjaza mtoto maneno asiyoweza kuyamudu ungemfundisha upendo na mengineyo ya kumjenga na sio kumjaza chuki dhidi ya mzazi mwenza.
"Bwana yule anatoa laki 3 ya kumtunza mtoto kila mwezi lakini dada hakuwahi kusema hili alikuwa anasema hapewi chochote, na hii nikaja kugundua ni mbinu ya kumfanya aliekuwa mme wake tumuone ni mkatili nae apate points za kujitetea."
ThubutuuuuuuIla tukiweka masihara kando, tunaopaswa kukataa ndoa ni wanawake.
NdioThubutuuuuuu
Kweli kabisa wengi wanapenda waonekane wema hata kama mabaya yaliyovunja ndoa/mahusiano walifanya wao.ukipiga stori na single moms kumi, ni wawili tu ndoa watasema kweli kuwa wanatumiwa hela ya matumizi ya mtoto
Kwa sababu gani?Ndio
mambo yameandikwa na mtoa uziKwa sababu gani?
Sheria inavyowabeba inatosha kabisa
Hao ni wachache sana na uzuri ni kwamba kabla hujaolewa unakua ushayatambua majukumu mengi, nna amini huwa kuna muongozo mnapewa ya kufanya kama mke ndani ya nyumba.mambo yameandikwa na mtoa uzi
Ujinga wake upo wapi sasa?,Au wewe ndio dada yake?.Wewe naye ni lijinga sana sasa mambo ya dada yako yanakuhusu nini ?
Tafuta demu uende uoe ili ujue ukweli wa mambo sio kuishi kwenye nadharia mshenzi .
Mkuu nisamehe tu ila ni vile sipendi watu wambea kama wewe .
Vipi lakini Yanga atashinda kweli ? [emoji3]
Wewe umeoa ??Sina maana ya kuwa mmbea ama kumkandia dada yangu ila hii ndio hali halisi ya matatizo haya ya sasa yanayofanya ndoa nyingi kubomoka, mimi nimeleta case study.
Mifano ipo mingi sana juu ya wanawake wasomi wa vyuoni kuwa wasumbufu kwenye ndoa ila wacha niweke kisa cha mtu naemjua kabisa wala si wa kihadithiwa.
Ni dada yangu huyu kabisa, aliitafuta sana ndoa na akaipata kimbebe kikawa kwenye maisha halisi ya ndoa.
Dada alikuwa kakariri sana maisha ya miss independent, haki sawa, ndoa za kitamthilia, n.k kwa bahati mbaya ama nzuri mme wake alikuwa hawezi vumilia haya mambo, kapata kazi hapa mjini na ni msomi ila kakulia sana maisha ya kijijini.
Dada alianza kuleta kiburi kumfulia mme wake nguo akashauri watafte house girl, mme wake akamwambia hata wakimleta house girl bado nguo zake haziwezi fuliwa na house girl, hilo ni jukumu la mwanamke wa ndoa.
Dada alianza kiburi kuamka asubuhi kumpashia mme wake maji, anamwambia mme wake apashe, walikuwa wanakorofishana sana.
Uvivu wa kupika, kuna muda anamwambia mme wake ale huko huko, yeye kachoka kupika.
Dada alikuwa bado hana kazi anashinda nyumbani, anaachiwa hela kila siku nje ya matumizi.
Vitimbwi vilikuwa ni vingi sana ila kwa ustaarabu wa kipekee wa yule bwana dada hakuwahi kupigwa hata kibao.
Baada ya miezi minne ya ndoa nikaanza kuona dada anapost status za kimafumbo za taasisi za kukemea uonevu kwenye ndoa, haki sawa kwenye ndoa, n.k.nikimpigia anadai anateswa na vitu vingine kibao, hio ilikuwa ni mbinu ya kupata tundu la kuchomoka / exit strategy, vitu vingi alikuwa anadanganya.
Alirudi nyumbani na mpaka sasa yupo nyumbani, mzazi hawakuwa na tatizo lolote kwa yeye kuridi na hata anavyoondoka chumba chake kilifungwa asilale mti mwengine.
vikao kama viwili hivi haonyeshi nia ya kurudi, nyumbani karudi na mtoto kuna house girl, anapikiwa, n.k.
Bwana yule anatoa laki 3 ya kumtunza mtoto kila mwezi lakini dada hakuwahi kusema hili alikuwa anasema hapewi chochote, na hii nikaja kugundua ni mbinu ya kumfanya aliekuwa mme wake tumuone ni mkatili nae apate points za kujitetea.
Majukumu ya ndoa kwa mabinti wengi wa vyuoni ni tatizo, wanataka kuendelea na lifestyle za vyuoni ambazo haziwezi kuendana na maisha ya ndoa, wanataka haki sawa bila kutekeleza majukumu yao, wamekuwa brain washed na tamthilia, n.k.
binafsi sisapoti watu kugomea ndoa lkn huwa nadhani ndoa inamuheshimisha sana mwanamke so ntashangaa sana kama wanawake humu watagoma kuolewaIla tukiweka masihara kando, tunaopaswa kukataa ndoa ni wanawake.
Hivi huyo anaesema mwanaume amsaidie mkewe anajua majukumu ya mke na mume ktk nyumba. Kwa hiyo hata kufua mume afue mke akiwa amekaa anaangalia tamthilia kisa unamsaidia kazi yeye kachoka.upo ndani ya mada lakini nilichangia kwenye ishu ya mume kutoa matumizi lakini mke kudai kuwa hapewi chochote.
SawaUmemtukana Bure mleta mada pengine una bifu nae au unatafuta bifu la kijinga. Huyu kaleta mada km somo kwa wengine. Mbona watu wanaleta mada juu ya maisha Yao humu ya ndoa na huwaambii wawaache wakaoe wengine. Tuwe na busara tunapojibizana. Majibu yako ni ishara ya makuzi ya single mother au wazazi waliosahau malezi badala yake wakakimbilia kukukuza tu.
Wewe naye ni lijinga sana sasa mambo ya dada yako yanakuhusu nini ?
Tafuta demu uende uoe ili ujue ukweli wa mambo sio kuishi kwenye nadharia mshenzi .
Mkuu nisamehe tu ila ni vile sipendi watu wambea kama wewe .
Vipi lakini Yanga atashinda kweli ? [emoji3]
Tatizo ni usawa wa kwenye theory wanazosoma, kuna jamaa alishaleta kisa humu kuwa alikua anamsaidia mkewe kazi kwakuwa alikua anawai kutoka kazini lakini siku akiacha mkewe anamlalamikia sana kwanini hajafanya.Hivi huyo anaesema mwanaume amsaidie mkewe anajua majukumu ya mke na mume ktk nyumba. Kwa hiyo hata kufua mume afue mke akiwa amekaa anaangalia tamthilia kisa unamsaidia kazi yeye kachoka.
Mimi nakushukuru mleta mada kwa kutambua kuwa dada yako ni hovyo kabisa hafai kuwa mke bora kwa kujifanya kasoma. Analeta vidigrii vyake vya vyeti ktk ndoa. Tena km mmegundua yeye ndiyo ana makosa mtimueni hapo haraka aende kwa mumewe.
Mada za wanawake wasomi kuwa wasumbufu zilishaletwa hapa nyingi sijui kwa nini hawapitii humu. Wanajiona wasomi mwisho wa siku wanazeeka bila ndoa au ndoa zao kutodumu kwa sababu ya u-much know kisa vidigrii vyao vya kumeza madesa. Hovyo sana hawa. Mbona wanaume hawako hivyo hata km amesoma vipi bado ataoa darasa la saba na watazeeshana. Ubinafsi na jeuri ya haki sawa kwa jinsia ya KE vitawamaliza.
😂😂😂 ndiyoTatizo ni usawa wa kwenye theory wanazosoma, kuna jamaa alishaleta kisa humu kuwa alikua anamsaidia mkewe kazi kwakuwa alikua anawai kutoka kazini lakini siku akiacha mkewe anamlalamikia sana kwanini hajafanya.