Kwa hapa kwetu nyumba zenye mashine hizo hazifikii hata 1%,Mambo mengine yashapitwa na wakati....kwanini huyo shemeji yako asinunue washing machine na geyser.
Kama anafanya kazi kumfulisha mwanamke....kuchemshiwa maji kila asubuhi kutesana. Hawezi kujichemshia maji?
Unaona sasa, ule ni msaada tu sio lazima afanye. Ni sawa na ishu ya kuhudumia familia, ni jukumu la mme ila mke anaweza saidia ila siku akikata huo usaidizi mume asione kama mkewe anakosea.😂😂😂 ndiyo
Kwanini aache kufanya
Mambo mengine yashapitwa na wakati....kwanini huyo shemeji yako asinunue washing machine na geyser.
Kama anafanya kazi kumfulisha mwanamke....kuchemshiwa maji kila asubuhi kutesana. Hawezi kujichemshia maji?
Tena wewe ndio utafua mpaka kucha zikuume, ukinyanyua tu mdomo umeisha 😂Mkuu bora utusaidie
Basi tuzidi kulalamika. sasa kettle ni shingapi? Kwamba nikiamka asubuhi seriously nishindwe kujiwekea maji ya kuoga kwa kettle???Kwa hapa kwetu nyumba zenye mashine hizo hazifikii hata 1%,
Ni vema kujua kuishi katika maisha general ya watanzania wengi, huku si marekani kwamba hata magereza kuna mashine za kufua.
Mwanamke kumfulia mwanamme wake ni moja katika majukumu yake ya usafi.
Wanawake hawajawahi na hawatawahi kuja kuwa na formula ya kuishi nao na hakuna mwanaume yeyote Duniani anaweza kusema anamridhisha mke wake, sema ukiona mume na mke wanaishi pamoja jua wanavumiliana tu na kila mmoja kajishikiza tu kwa mwingine.Tatizo ni usawa wa kwenye theory wanazosoma, kuna jamaa alishaleta kisa humu kuwa alikua anamsaidia mkewe kazi kwakuwa alikua anawai kutoka kazini lakini siku akiacha mkewe anamlalamikia sana kwanini hajafanya.
Kuvumiliana ni muhimu ila hawa wasomi uvumilivu ni 0.001%Wanawake hawajawahi na hawatawahi kuja kuwa na formula ya kuishi nao na hakuna mwanaume yeyote Duniani anaweza kusema anamridhisha mke wake, sema ukiona mume na mke wanaishi pamoja jua wanavumiliana tu na kila mmoja kajishikiza tu kwa mwingine.
Nitakopa kikoba ninunue machine wallah 😂Tena wewe ndio utafua mpaka kucha zikuume, ukinyanyua tu mdomo umeisha 😂
Kama kwako ni sawa basi ni maamuzi yako binafsi lakini haibadilishi majukumu ya mwanamke kwenye ndoa ambayo kwa jinsi inavyoonekana huenda hata huyajui.Basi tuzidi kulalamika. sasa kettle ni shingapi? Kwamba nikiamka asubuhi seriously nishindwe kujiwekea maji ya kuoga kwa kettle???
Wengi wenye akili km hizi ndiyo ndoa zao zimevunjika au kupitia tanuru la kaa la moto. Yani ununuliwe mashine sababu tu uvivu na ubishoo wako au kwa sababu nyingine. Kwa mtindo huu mtabakia single mother hadi mkome.Mambo mengine yashapitwa na wakati....kwanini huyo shemeji yako asinunue washing machine na geyser.
Kama anafanya kazi kumfulisha mwanamke....kuchemshiwa maji kila asubuhi kutesana. Hawezi kujichemshia maji?
Na kuna vya kuvumilia ila mengine hayavumiliki kwa kweli.Kuvumiliana ni muhimu ila hawa wasomi uvumilivu ni 0.001%
Kama ni mkoloni atakwambia hataki nguo yake ifuliwe na mashineNitakopa kikoba ninunue machine wallah 😂
Hiyo ipo wazi ila ndoa nyingi zinakosa wanandoa wenye uvumilivuNa kuna vya kuvumilia ila mengine hayavumiliki kwa kweli.
NitambondaKama ni mkoloni atakwambia hataki nguo yake ifuliwe na mashine
Kaka sio mwanamke huyo, Ni mwanaume huyo alieshauri,Wengi wenye akili km hizi ndiyo ndoa zao zimevunjika au kupitia tanuru la kaa la moto. Yani ununuliwe mashine sababu tu uvivu na ubishoo wako au kwa sababu nyingine. Kwa mtindo huu mtabakia single mother hadi mkome.
utapigwa mpaka akili ikukae sawa usijethubutu 😂Nitambonda
Nitaliaaautapigwa mpaka akili ikukae sawa usijethubutu 😂
Hatutishiwi machozi, nyie si huwa mnapenda kupima kama anapiga au hapigi.Nitaliaaa
Ataniachia mwenyewe
Ushawahi mpiga mtoto wa mtu?Hatutishiwi machozi, nyie si huwa mnapenda kupima kama anapiga au hapigi.