Ushuhuda wa dada yangu: Ukioa mdada wa chuoni ambae kwao anaweza kurudi kirahisi tegemea kusingiziwa unamfanyia ubaya akiona majukumu ya ndoa magumu

Ndoa za kisasa ili zidumu inabidi mwanaume asalimishe uanaume wake! Ni mwanaume bwege tu ndio anaweza kufanya huo ujinga.

Hivi viumbe vinakuwa na kiburi ukiwaruhusu. Mapema muoneshe msimamo wako you dont take bull crap from her, na akicheza ajue she can be replaced asap.
Mwanamke anapata shida kucheza na akili ya mtu serious.
 
Kabisa,kuna baadhi ya wanaume wana mambo ya ajabu kweli. Uskute alikua hata hajali mwenzie amechoka anaforce mwenzie apigike zaidi badala ya kumpa msaada ukizingatia kasema ana mtoto mdogo.
Imeandikwa:

Na tamaa yako itakua kwa mumeo, naye atakutawala.

Mwanzo 3:16

Sasa mnataka kupingana na maandiko au?
 
Imeandikwa:

Na tamaa yako itakua kwa mumeo, naye atakutawala.

Mwanzo 3:16

Sasa mnataka kupingana na maandiko au?
Kutawala haimaanishi kumtesa mtu
Muwe mnaangalia other factors pia. Sio tuu mtimiziwe haja zenu.
Utu utu utu ni muhimu sana hata ukiwa mtawala..
Usipelekeshe binadamu mwenzio Kwa nguvu na mamlaka uliyonayo.. automatically kilakitu kinakua mzigo/kazi na sio kufanya kwa furaha na mapenzi...
Ni hayo tuu.
 
Umeeleweka mkuu,
 
Its a fiction story..
 
Hapo chuo hakina tatizo,tatizo ni malezi aliyoyapata akiwa mdogo kutoka kwa Mama yako.
Tania yaama ndio mara nyingi inakuwa tabia ya binti.

Eti Karudi nyumbani na haulizwi na chumba chake kipo wazi…..

Hajui wazazi wanalea mzigo unaokuja kulipuka mbeleni huko.
 
Tukiachana ukategemea niwe nakutumia hela ya matumizi umeumia, Uchague moja uache mtoto nimlee mwenyewe au ukalee mwenyewe, Sitojali sumu utazomjaza huyo mtoto... Nje na hapo labda kosa lililopelekea tuachane liwe limetoka kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…