Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Aliolewa kupewa matumizi si atoke akatafute zakeš¤§upo ndani ya mada lakini nilichangia kwenye ishu ya mume kutoa matumizi lakini mke kudai kuwa hapewi chochote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliolewa kupewa matumizi si atoke akatafute zakeš¤§upo ndani ya mada lakini nilichangia kwenye ishu ya mume kutoa matumizi lakini mke kudai kuwa hapewi chochote.
We mbona mkoloni hivyoNdio mke afue atazitakasha
Nimechangia mada tuWe mbona mkoloni hivyo
Ndoa kwa wengine ni ajira they get paidAliolewa kupewa matumizi si atoke akatafute zakeš¤§
Sasa watu Kam hao wanaishia kua single mothersNdoa kwa wengine ni ajira they get paid
Ndio hivyo kuna wengine ni chanzo cha kuvunja ndoa zao wenyeweSasa watu Kam hao wanaishia kua single mothers
Ndoa za kisasa ili zidumu inabidi mwanaume asalimishe uanaume wake! Ni mwanaume bwege tu ndio anaweza kufanya huo ujinga.
Haujamalizia sentence:Hiyo ni reflection ya aina ya malezi aliyopata. Nitarudi
Imeandikwa:Kabisa,kuna baadhi ya wanaume wana mambo ya ajabu kweli. Uskute alikua hata hajali mwenzie amechoka anaforce mwenzie apigike zaidi badala ya kumpa msaada ukizingatia kasema ana mtoto mdogo.
Kutawala haimaanishi kumtesa mtuImeandikwa:
Na tamaa yako itakua kwa mumeo, naye atakutawala.
Mwanzo 3:16
Sasa mnataka kupingana na maandiko au?
Umeeleweka mkuu,Kutawala haimaanishi kumtesa mtu
Muwe mnaangalia other factors pia. Sio tuu mtimiziwe haja zenu.
Utu utu utu ni muhimu sana hata ukiwa mtawala..
Usipelekeshe binadamu mwenzio Kwa nguvu na mamlaka uliyonayo.. automatically kilakitu kinakua mzigo/kazi na sio kufanya kwa furaha na mapenzi...
Ni hayo tuu.
Dah, mkuu nulipatwa na msiba wa baba mzaziUpo mkuu,sijakuona kitambo
Haijalishi, popote alipolelewa.Haujamalizia sentence:
Reflection ya malezi aliyopata akiwa CHUO
Ooo pole sana mkuuDah, mkuu nulipatwa na msiba wa baba mzazi
Its a fiction story..Sina maana ya kuwa mmbea ama kumkandia dada yangu ila hii ndio hali halisi ya matatizo haya ya sasa yanayofanya ndoa nyingi kubomoka, mimi nimeleta case study.
Mifano ipo mingi sana juu ya wanawake wasomi wa vyuoni kuwa wasumbufu kwenye ndoa ila wacha niweke kisa cha mtu naemjua kabisa wala si wa kihadithiwa.
Ni dada yangu huyu kabisa, aliitafuta sana ndoa na akaipata kimbebe kikawa kwenye maisha halisi ya ndoa.
Dada alikuwa kakariri sana maisha ya miss independent, haki sawa, ndoa za kitamthilia, n.k kwa bahati mbaya ama nzuri mme wake alikuwa hawezi vumilia haya mambo, kapata kazi hapa mjini na ni msomi ila kakulia sana maisha ya kijijini.
Dada alianza kuleta kiburi kumfulia mme wake nguo akashauri watafte house girl, mme wake akamwambia hata wakimleta house girl bado nguo zake haziwezi fuliwa na house girl, hilo ni jukumu la mwanamke wa ndoa.
Dada alianza kiburi kuamka asubuhi kumpashia mme wake maji, anamwambia mme wake apashe, walikuwa wanakorofishana sana.
Uvivu wa kupika, kuna muda anamwambia mme wake ale huko huko, yeye kachoka kupika.
Dada alikuwa bado hana kazi anashinda nyumbani, anaachiwa hela kila siku nje ya matumizi.
Vitimbwi vilikuwa ni vingi sana ila kwa ustaarabu wa kipekee wa yule bwana dada hakuwahi kupigwa hata kibao.
Baada ya miezi minne ya ndoa nikaanza kuona dada anapost status za kimafumbo za taasisi za kukemea uonevu kwenye ndoa, haki sawa kwenye ndoa, n.k.nikimpigia anadai anateswa na vitu vingine kibao, hio ilikuwa ni mbinu ya kupata tundu la kuchomoka / exit strategy, vitu vingi alikuwa anadanganya.
Alirudi nyumbani na mpaka sasa yupo nyumbani, mzazi hawakuwa na tatizo lolote kwa yeye kuridi na hata anavyoondoka chumba chake kilifungwa asilale mti mwengine.
vikao kama viwili hivi haonyeshi nia ya kurudi, nyumbani karudi na mtoto kuna house girl, anapikiwa, n.k.
Bwana yule anatoa laki 3 ya kumtunza mtoto kila mwezi lakini dada hakuwahi kusema hili, tulikuja gundua baadae, hapa nikaona kabisa sista alikuwa anataka atuvute upande wake tumuone mme wake hafai.
Pia napata stori pale nyumbani kwamba yule bwana akienda kumuona mtoto kuna mchezo mchafu unachezwa, dada anamwambia house girl ampeleke mtoto mtaa wa pili washinde huko hadi baba yake akiondoka, ni dada yangu lakini kwa kuwa nami pia ni baba, nikiona mwanaume mwenzangu anafanyiwa haya inaniuma.
Majukumu ya ndoa kwa mabinti wengi wa vyuoni ni tatizo, wanataka kuendelea na lifestyle za vyuoni ambazo haziwezi kuendana na maisha ya ndoa, wanataka haki sawa bila kutekeleza majukumu yao, wamekuwa brain washed na tamthilia, n.k.
Hapo chuo hakina tatizo,tatizo ni malezi aliyoyapata akiwa mdogo kutoka kwa Mama yako.
Tania yaama ndio mara nyingi inakuwa tabia ya binti.
Mazingira ndugu wengine tunapoishi kuna vumbi sanaNa kwanini uchafue nguo kiasi hicho?