Ushuhuda wa jinsi nilivyofanikiwa kuacha punyeto

Kauli yako ya Kwanza na Ya Mwisho zina ushindi mkubwa sana, Hongera Ndugu. Nimependa kuwa ulishaweza na hata ulipokosea hukukata tamaa unasonga.

Umenipa Nguvu, safi sana. Kuna namna ujumbe wako umewasaidia na wengine pia.
 
Pornhub.com kaka jaribu kupitia hiyo website watakupa na ujuzi mwingine wa kuiacha kabisa
Kwa bahati nzuri Nina Maarifa yakutosha sitopaswa kupitia huko, wala yoyote sitomshauri hivyo kwa kuwa huko ataishia kutenda dhambi na kujikosea tuu. Na hakuna uhalisia na Fiction

Yaliyopita yalishapita, kwa sasa ni Kusonga Mbele, link ninazotumia kwa sasa ni za kujenga kifikra, Kiakili, Kijamii na Kiroho.

Kwanini Nisijifunze vitu vipya na Vizuri kupitia, Linkedin Learning, Bbc.Com/learning, bible.com, billygram.com nipoteze muda kwa vitu vinavyochochea uharibifu.

Nimejifunza kuyaacha yaliyopita
 
Umeweka Point kubwa sana. Na hii ndiyo sababu iliyopelekea niachane na Punyeto kwa kuwa kila ukimaliza hakuna furaha ni guilty na kujisikia vibaya tuu.

Namshukuru Mungu anazidi kuniimarisha na Akili yangu imeshaamua kutokuendelea kuteseka
 
Endelea kukomaa usirudi nyuma, Hakika umethubutu na unaweza kamanda.
Asante sana, Ujumbe huu nimeupokea kwa moyo wa Shukrani na hautoishia kwangu, kila atakayesoma atafarijika na kujua kuwa naye anaweza kuacha kwa kuwa wapo wanao muwazia mema cha msingi ni kudhamiria

Asante Kamanda
 
mkuu!, mi nina kama wiki moja sijapiga nyeto, ila leo siku ya nane kwa kujipongeza nikaamua kupiga kimoja.
Hongera kwa kwenda siku Nane bila kupiga, ila pole kwa kupiga hiyo. Kwa kuwa umedhamiria kuacha, basi usikate tamaa anza tena naamini unashinda kabisa

Kila heri
 
Jiandae kuwa shoga sasa kuunga mkono juhudi za Chadema
 
Mkuu hakuna anayeacha punyeto,,ni sawa na ugonjwa wa aikili huponi moja kwa moja. Kumbuka hata kumwaga nje pia ni punyeto.
 
Hongera kwa kwenda siku Nane bila kupiga, ila pole kwa kupiga hiyo. Kwa kuwa umedhamiria kuacha, basi usikate tamaa anza tena naamini unashinda kabisa

Kila heri
sawa mkuu ila naww siku ukizimua usisite kuleta mrejesho
 
Kauli yako ya Kwanza na Ya Mwisho zina ushindi mkubwa sana, Hongera Ndugu. Nimependa kuwa ulishaweza na hata ulipokosea hukukata tamaa unasonga.

Umenipa Nguvu, safi sana. Kuna namna ujumbe wako umewasaidia na wengine pia.
Asante sana mkuu
 
Ni siku ya Sita Mfululizo bila kupiga Punyeto, dhamira yangu Nina zidi kuimarisha zaidi ili Kusonga Mbele.

Mazoezi naongeza,
Kusoma Neno naongeza,
Na kuwa busy na kazi za mikono,
Na kuwa busy na Kusoma na kuandika nakala mbalimbali

Vyote hivyo navifanya huku;
Nikiachana kabisa na kutazama picha au video zenye kupelekea kuamsha hisia,
Nikiacha kuwa sehemu za pekee yangu tuu,
Nikiacha kuwaza kuwaza kushindwa


Asante Mungu kwa kuniwezesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…