Ni siku ya Sita Mfululizo bila kupiga Punyeto, dhamira yangu Nina zidi kuimarisha zaidi ili Kusonga Mbele...
Mkuu mimi nishawah kuwa muhanga zaid yako kwa miaka 4
Now Nina miezi zaid ya miwili sina hata wazo
NOTE:
Sifanyi mazoezi
Bado nakaa chumban peke yangu
Niko busy mtandaon
Ila kilichonisaidia ni Mungu
Mwombe mungu sana
Ikiwezekana funga sana Maombi
Punyeto ni pepo au roho inaitwa spirit of masturbation
Dawa yake Maombi ya kumaanisha
Me nilimwambia Mungu kama nyeto haitanipeleka jehanum basi aniache niendelee nayo
Ila kama ni dhamb Nimekupa wewe maisha yangu niponye
Na siku nikiingia jehanum sababu ya puri ninaomba ukumbuke sala hii
Mungu ni mwaminifu kaniponya kabsa
Cha msingi okoka kwel kwel tafuta kanisa la kiroho (Pentecostal)
Afu usivunjike moyo hata hali ikija tena Mwambie Yesu mapenzi yako yatimizwe kwangu
For sure things will change