Ushuhuda wa jinsi nilivyofanikiwa kuacha punyeto

mkuu ulimkimbia Shetan kwny mdomo wake kabisaa
 
Mungu atukuzwe kwaajili yako, hongera sana. Kuna kitu kizuri wale waliopita ukawasaidia haukuwasaidia wao tuu Bali Mungu alikunusuru na kukusaidia wewe.

Utaweza kabisa kaka, na Mungu yu Pamoja nawe. Tuzidi kuimarika haijalishi hali itakuwaje
Asante sana mkuu. Naomba Mungu nisiweze kabisa kwenda tena kule
 
We jamaa utapoteza muda wako hii kitu ni ngumu sana kuacha kwa waliopitia kama unataka kuacha kweli ingia kwenye ndoa lakini kwa kuishi kisela ina maana unakaribisha roho ya uzinzi tu na unapoteza muda wako wa bure tu
 
week ya 3 ( Siku 21) bila kupiga Punyeto.

Ninaendelea Kumshukuru Mungu kwa kila siku anavyonipagnia, Mambo Makubwa niliyoyafanya.

*Jumapili nilienda Kanisani nikatoa Sadaka ya Shukrani, pia Nikamuomba Mungu azidi kunisaidia kwa kuwa pekee yangu siwezi.

*Kuna wakati nilipitiwa kwenye jaribu LA kutazama vitu vinavyopelekea kujichua kwa tamaa ila katika kutazama ndani nikakumbuka kuwa nilishasema No kwa Punyeto nikaacha na kuendeleza kazi za kuwa busy

*Nimejifunza kupuuzia wanaosema huwezi kuacha, hiyo huwa hawaachi, na wenye kukatisha tamaa.

*Nimeamua kujifunza na kusikiliza kwa walioacha, na wanaotamani kuacha na wenye maneno ya kutia nguvu.

Ni maamuzi mazuri kuamua kuacha, Siku ya 21 Leo, Asante Mungu. Ukitaka kuacha kitu kibaya epuka kuwasikiliza wanao ona kuwa haiwezekani, jifunze kwa wanaoweza kukujenga kukushauri na kukutia moyo
 
Mkuu chaputa haustaafu, unapumzika kwa muda.

Sent from my CAM-L21 using JamiiForums mobile app
 
Ni Siku 37 toka nimeacha kupiga Punyeto

Asante sana Mungu, nilijua inawezekana ila ukaniambia sio kwamba inawezekana tuu bali nitakuwezesha. Katika yote ninayopitia bado umeniwezesha. Pale hali zote za nje zinapoona kuwa siwezi, mazingira yakiona siwezi nikiyatazama na yatengenezea namna ya kuyaweza.

-Kwasasa hata nikikaa pekee yangu kwa muda siwezi kuwazawaza ujinga, na hata ukija napeleka mawazo kwenye shughuli za maisha

- Kila siku namuomba Mungu najua pekee yangu siwezi na ameniwezesha

-Nimepunguza vitu vya ushawishi vinavyochochea akshi.

-shughuli nyingi za kusoma na kikazi zimezidi kunifanya kuwa busy.

- Inawezekana Inawezekana siku 37 na bado nasonga. Unayeanza kuacha jua tuu Inawezekana nami nilianza kwa Massa 24 tuu kuacha nikaendelea hadi leo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] woyoooooo

Jf idumu milele aameen
 
naona unataka utufukuzie wanachama ni kiwa kama katibu wa CHAPUTA kanda ya kaskazini napinga vikali hoja yako usizingizie chama we ulikuwa na matatizo yako binafsi milango iko wazi kama utataka kurudi
[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…