Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
Habari ndugu na jamaa! Pole na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.
Sio mwandishi mzuri, lakini leo nataka nikupe kisa cha kweli kuhusu taifa lako.
Mwaka 2016, nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM (sitaeleza mengi kuokoa muda na usomaji pia). Nilipata habari ambayo binafsi, mwanzo, sikuelewa ilikuwa ina maana gani (maana ata ndugu zangu walidhani nimepata ugonjwa). Habari hii ilibeba ujumbe mkubwa kuhusu mimi na taifa lenu. Mwanzo ndugu yangu alinifata pale chuoni baada ya kutokea taharuki (maana nilikuwa nikimtizama; mtu kama ana shida lazima aseme kila kitu).
Ilibidi ndugu yangu afike kunichukua, maana habari zilizokuwa zinaenezwa ni kwamba nilikuwa naenda kurejesha mali zenu, japo sikujua kitu, na alikuwa akitajwa mjomba wangu ambaye, kipindi kile, alikuwa akihudumu Vatican kama padre.
Niliaga nikiwa kwamba naenda nyumbani, na safari ya kuelekea Dar-es-Salaam ilianza. Tulipanda bus la Shabiby (waliokuwemo siku hiyo waliona kila kitu).
Baada ya kufika Dar, ndugu hawakuamini; walinipeleka Mikocheni (kama sijasahau kuombewa). Lile kanisa lilikuwa na mauza uza mengi, lakini ndugu hawakuona — ni wachungaji tu ndio walijua nguvu yangu.
Kufupisha habari, nilienda Tanga; kuna kanisa la prophet anajiita Julius K (sio nabii; ni tapeli; wenyeji wa Tanga mnajua) — hilo kanisa linaitwa Shiloh kitu kama hicho. Niseme tu: taifa lenu limeandamwa na roho wengi wachafu; niliona mengi yasiyoelezeka hapa (majini, misukule, mazombie na mijitu isiyoeleweka). Ningekuwa kuwa mtu wa tamaa, yule kiongozi mtangulizi wenu ningemuangusha (lakini baada ya kuulizwa nilisema napenda amani tu).
Nimeandika huu ujumbe kwenye jukwaa la siasa, nikiwa na lengo kwamba, kama kuna watu wako karibu na kiongozi wetu (Mh. Samia), basi wamwambie haki ndio njia pekee itaweza kurejesha mambo kwenye usawa. Akifanya tofauti, ajiandae kupitia magumu (binafsi kuna muda niliwaza nikae kimya, lakini kuna muda namuona huyu ni mama pia. Binafsi nampenda mama yangu; hivyo hata huyu najua ana watoto ambao wangependa kuona akifanikiwa. Hivyo mwambie: atende haki).
Amani na upendo viwe kwenu. Samahani kwa usumbufu wowote. (Taifa litakombolewa hili.)