Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
- Thread starter
- #41
Kiongozi nayosema hapa sio kutafuta attention au kujulikana.Nimesema kwa moyo safi tu(najua kuna watu hawana imani na uwepo wa Mungu sio kazi yangu kuwafanya waamini).Nimeandika ufupi tu kwa lengo la kurejesha tumaini kwa taifa na viongozi wetu(wanasema mjumbe hauliwi nimekwambia kwa sasa nipo Kahama sijifichi.Ujumbe huu ni kwa nia njema,sote ni watanzania nisingependa tuwe na mwisho mbaya.Asante)Basi ni Mungu alie hai na sio mapepo ,Muulize tena kwamba mbona Taifa linaelekea Angamia na unipi majibu mapema kwatadhalisha wana wa Mungu wa Taifa hili ? Ukipata jibu njoo tena ,maana ni matumaini yangu atakwambia yote yajayo na kuwashirikisha wana wa Mungu .
Au kama ni kweli Mungu kweli unaesemezana naye basi umekengeuka that's anashindwa kukupa vibali vingine ,hujanyooka katika njia zake, tofauti na hapo ni mapepo