Ushuhuda wa kweli na habari njema kwa taifa la Tanzania

Ushuhuda wa kweli na habari njema kwa taifa la Tanzania

Unazungukia mle mle; wakati ulikwisha sema mwenyewe hupendi kupoteza muda, kitu ambacho kwangu ni cha maana sana. Sasa ninakuvumilia kidogo tu, kwa sababu tayari ninajihisi kupoteza muda nawe.

Hivi hii hali umeanza kuiona leo? Umezungumzia 2016 huko, mimi sijui ni kitu gani kilitokea huko; lakini kweli wewe hali hii iliyopo nchini ndiyo kwanza umezinduka na sasa kuanza kuitolea maono, tena dakika za mwisho mwisho!

Sina muda tena wa kupoteza na mtu kama wewe.
Ujumbe wako ulipaswa kuwa umetolewa siku nyingi sana; sasa hivi tayari ulisha achwa na ndege!
Tulia hivyo hivyo soma.Nimekwambia mimi sio mjumbe tu wa hili taifa,ujumbe wangu ni wa ulimwengu wote.Sitendi mimi anayetenda ndio anaamua nini kifanyike.Sipo hapa kutoa tumaini kwa mtu nipo hapa kukueleza habari za nyakati na ukweli wa ambacho najua

Uzuri nimukueleza kwanini nimesema hivi.Narudia tena nimetoka ujumbe huu kwa maana mnaelekea pabaya.Mwisho haujafika na nikuhakikishie.Maandamano ni haki kikatiba lakini ni kwambie huu utawala hautaondolewa na maandamano ya tarehe 29 tulia mimi najua kilichopo mbele.Hiyo tarehe 29 nikutakie kila la kheri lakini haiwezi kuangusha utawala huu(ni ukweli, hapa hatupeani matumaini tunaelezana ukweli kila mtu kwa upande wake)

Sija achwa na ndege mimi ndio rubani sasa naachwa vipi.
 
Sina muda na chizi tena.
 
Nijibu tu jumbe zote kwa mara ya mwisho na kwa kifupi sana.

Ujumbe uliwalenga watawala.Ujumbe ni kile ninachokijua mimi.Wale ambao mnatumia hisia zenu hilo sio kazi yangu.

Punguzeni haraka zisizo na maana, subira itawaepusha na mengi.Mkiwa na haraka tutaendelea kuona matumizi mengi ya nguvu na vifo visivyokuwa na mipangilio.

Taifa lako mpaka likombolewe lazima nitokee bila hivyo damu nyingi zitamwagika bila matokeo chanya

Wenye subira ujumbe ni huu.Rais wako(namaanisha anayehudumu mpaka sasa) anaenda kutangazwa mshindi hiyo baada ya uchaguzi(hili kila mtu anajua).Wenye tumaini na tarehe 29 kwamba ndio saa ya ukombozi niwatakie kila la kheri(japo tunaweza tusione matunda chanya).Baada ya ushindi wa huyu kiongozi,matumizi mengi ya nguvu yanaweza kuongezeka(hili kila mtu anaweza kuliona)

Matumizi ya nguvu yakizidi(uvunjifu wa haki ukazidi,na ujumbe wangu nimesisitiza haki).Hapa taifa kwanza litapitishwa kwenye kila majanga unayojua(ukame,njaa,na mabalaa yote).Rais hatakosa njia za kurejesha maisha kwenye usawa.Hapa ndipo msiba au mapinduzi yatafuata(kumbuka ujumbe wangu ni wa amani,watawala puuzeni muone safari ilivyo ngumu hii)

Huu ujumbe sio tumaini kwa watawaliwa maana magumu yakija hata wewe unaepata ujasiri wa kuandika hovyo hapa utanihitaji mimi na sitakuhitaji kwa lolote.

Mwenye masikio na asikie.Endelezeni mioyo yenu ya viburi ndipo mtajua huu ujumbe umetoka wapi.
 
Siku hizi kila mtu ni mtabiri,
Kila mtu ana jicho la tatu,
Kila mtu ni nabii,

Dunia haiendeshwi kwa mambo yakufikirika,huu ni zaidi ya ujinga uliopitiliza.

😀😀😀😀
Kusema haki itendeke ni ujinga?
Hajasema hatendi haki ila amesema haki italiinua Taifa.Taifa letu limeinuka na huu ni ushahidi kuwa haki inatendeka
 
Kusema haki itendeke ni ujinga?
Hajasema hatendi haki ila amesema haki italiinua Taifa.Taifa letu limeinuka na huu ni ushahidi kuwa haki inatendeka
Uwe unaelewa jambo kwanza kabla hujaamua kumquote mtu,

Kuna sehemu nimesema haki kutendeka ni ujinga?

Mimi nimeongelea hayo mambo ya utabiri na mambo yakufikirika,mabadiliko hayaletwi kwa kila mtu kujifanya nabii au ameoteshwa,huo ni zaidi ya ujinga.
 
Genz ni kifup vha generation z yaankizacha mwisho
 
Siku hizi kila mtu ni mtabiri,
Kila mtu ana jicho la tatu,
Kila mtu ni nabii,

Dunia haiendeshwi kwa mambo yakufikirika,huu ni zaidi ya ujinga uliopitiliza.

😀😀😀😀
Kwani hairuhusiwi kua nao wengi?
Kama wapo kweli wawe wanajitokeza mmojammoja?😃😀
 
Kiongozi nayosema hapa sio kutafuta attention au kujulikana.Nimesema kwa moyo safi tu(najua kuna watu hawana imani na uwepo wa Mungu sio kazi yangu kuwafanya waamini).Nimeandika ufupi tu kwa lengo la kurejesha tumaini kwa taifa na viongozi wetu(wanasema mjumbe hauliwi nimekwambia kwa sasa nipo Kahama sijifichi.Ujumbe huu ni kwa nia njema,sote ni watanzania nisingependa tuwe na mwisho mbaya.Asante)
Watu wanaokupinga naweza kusema kua ni wajinga,na ujinga sio tusi.
Iko hivi,
Iko hivi,case kama hii Yako hua haipingwi kwa kumshambukia mtu,Bali case kama hii hupingwa kwa wakati.
Yaani wewe umesema maono Yako,au utabiri wako au ndoto Yako ya mambo ambayo unasema yatatokea siku zijazo,hivyo watu wenye weledi husubiri Hadi siku hizo zufike na wataona wenyewe,kama yasipotokea hayo uliyosema ndipo waanze kukuhoji na kukukosoa ,
Na yakitokea ndipo watakapojua kipawa chako.
Hivyo watu wenye weledi hukaa kimya na kususbiri.
Tena hukaa kwa kujiandaa kupokea matokeo ya maono ya waonanji.
Kwa kifupi wanapata wapi ujasiri wa kukupinga kabla majibu hayajatokea?
 
Ngoja niifuatilie story yako....yawezkana una kitu...na awezaye kuamini na amini ...ila kwa huu utawala wa mama kwel utekaj na mauwaji yametamalaki sanaa...kuna damu nyingine miongoni c za kutoka bure..ni kama cain kwa kaka yake ...naamini kuna jambo litatokea baya kwa huyu mama
Huo ndio ukomavu ndugu yangu.
Watu kama Hawa so long as hakuombi Hela kukupa habari zake, kwa kawaida unaipokea habari yake Kisha unasubiri muda,muda ndio mwamuzi wa ishu kama hizi.

Hata hivyo watu kama Hawa wapo wengi TU,Kuna watu ama wamejaaliwa kuona mambo ya mbele ya muda na Mungu,ama Wana ma nguvu Yao kutoka kwenye ma ukoo na ma familia yao ya huko walikotoka.
 
Umeandika upumbavu mtupu. Kwani mtu ukiwa mlokole lazima pia uwe na tatizo la kiakili? Nyie watu mnaoabudu kwenye makanisa ya kilokole wengi ni kama mataahira.
Acha chuki na matusi ndugu.
Sijaona kosa lolote la Mtu huyu wala Imani yake.
Haya,tusichukulie kama ni unabii,Bali tuchukulie kama utabiri,maana Kuna watabiri ambao sio walokole au waislam.

Mbona Shehe Yahaya alitabiri baadhi ya utabili wake umetimia?
Na si mlokole?
Naye hamkumuamini hivihivi.

Mfano alitabili hivi;
Atakuja Rais mmoja mweusi,mfupi mchekeshaji na mchapa kazi ataongoza kwa muhuka mmoja halafu atakufa,kweli Magifuli alikufa ndani ya miaka motano TU,tofauti na watangulizi wake.

Akatabiri atafuata Rais mwanamke ,hapa watu walimpinga sana kua haiwezekani Kwa kipindi hiki Tanzanian kupata au kuongozwa na Rais mwanamke,lini utabiri ukatimia ,
Na haya aliyatabiri wakati wa Kikwete,kipindi ambacho hata Magufuli hakua akitegemewa kabisa,waliokua wakitegemewa ni akina Lowasa.
 
Mkuu 'Seth', hivi hujui tu ni kiasi gani tunatamani maono yako yawe ya kweli; lakini kwa sasa hivi hatuwezi kamwe kuishi kwa kutegemea maono kama hayo yako.

Ninakuhimiza, mkuu, Oktoba 29, tutoke pamoja tukauondoe uovu huu unao tukabili sote wakati huu.

Nimejizuia sana kutosema mengine juu ya maono yako.

N.B., "Atokee mtu (watawala)....apuuze huu ujumbe" Unataka wapuuze mara ngapi? Wewe unadhani katika muda huu bado kuna cha kuwafanya wao warudi nyuma?
Kwa nini hukuwaambia mapema?
Haya maandishi yako humu JF umewapelekea na kuwakabidhi mikononi mwao, usiwe na shaka kuwa pengine hawakuuona ujumbe wako JF?

Unatuletea sisi hapa, halafu unasema sisi siyo walengwa; sasa unataka tufanye nini?
Dah !
Wewe jamaa una akili sana,lkn ningepata muda nikakupa Elimu kwa faida ya wengine,maana unaweza ukawa na PhD lkn Kuna baadhi ya Elimu ukapewa na mtu ambao hajui hata kuandika jina lake wala kusoma.
Ila akawa na ujuzi wa mambo makubwa ambayo wewe huyajui.
 
Unazungukia mle mle; wakati ulikwisha sema mwenyewe hupendi kupoteza muda, kitu ambacho kwangu ni cha maana sana. Sasa ninakuvumilia kidogo tu, kwa sababu tayari ninajihisi kupoteza muda nawe.

Hivi hii hali umeanza kuiona leo? Umezungumzia 2016 huko, mimi sijui ni kitu gani kilitokea huko; lakini kweli wewe hali hii iliyopo nchini ndiyo kwanza umezinduka na sasa kuanza kuitolea maono, tena dakika za mwisho mwisho!

Sina muda tena wa kupoteza na mtu kama wewe.
Ujumbe wako ulipaswa kuwa umetolewa siku nyingi sana; sasa hivi tayari ulisha achwa na ndege!
Hapana ,wala hajachelewa,ndani ya dk Tano TU inaweza kua hata siku ya Tarehe 27 oct 2025, Kila kitu kinaweza kubadilika na mageuzi makubwa kutokea nchini.

Nitaeleza kwa Mfano,
Ikiwa Mama na watuwake wkizingatia ushauri wa huyu Mwamba au wa watu wengine kusitisha uchaguzi na kuitisha mchakato wa katiba,nayo katiba ya wengi na Bora ikapatikana,basi uchaguzi utakaofuata utakua uchaguzi huru na wa haki ambao utapelekea kupata Viongozi waliochaguliwa na kushinda kihalali.

Katiba hiyo itaondoa uonevu wote uliipo Polisi,Mahakamani,tume ya uchaguzi na sehemu nyingine.
 
Si tumekubaliana kuwa kanisani hakuna majini, bali msikitini ndio yapo?
Wakristo, hivyo vistori vyenu vya uongo haviwezi kutushawishi tuandamane.
 
Back
Top Bottom