Ushuhuda wa kweli na habari njema kwa taifa la Tanzania

Ushuhuda wa kweli na habari njema kwa taifa la Tanzania

Na iwe hivyo. Amina
Itakuwa japo mimi binafsi bado siombi limpate hili.Najua ni binadamu kukosea wote tunakosea.Nafasi ya kurekebisha anayo lakini akifanya tofauti anaenda kukutana na ghazabu ya Mungu(sio wanganga,sio wasomi,sio majeshi,sio mali zake vitaweza kumuokoa)

Nimetoa huu ujumbe baada ya kuona huyu kiongozi wetu anaweza kupatwa jambo ambalo hatakosa afanye nini(jibu ni jepesi hatende haki)
 
Wameamua kutuuzia hofu, wananchi hawana pa kukimbilia jeshi si la wananchi bali ni la watawala,jeshi linatoa matamko hadi waje kujishushia heshima kama mapolisi
 
Wameamua kutuuzia hofu, wananchi hawana pa kukimbilia jeshi si la wananchi bali ni la watawala,jeshi linatoa matamko hadi waje kujishushia heshima kama mapolisi
Mungu atatenda.Kama una amini sali lakini ombea viongozi wetu kwanza wabadilike watende mambo kama miongozo yetu inavyosema.

Huu ujumbe niliandika nikijua kabisa kwamba kama siji kuwaeleza.Tunaweza pitishwa kwenye magumu kwa sababu tu ya ukimya wangu.

Nilichagua kuandika hapa,maana siko karibu na hao watawala kusema ningewaeleza mapema.Sina nguvu hii ya kidunia(kusema nina utajiri,majeshi au vitu vyovyote vile bali ni Mungu ambaye ndiye kaniruhusu niyaone yote niliyoyaona).

Nimeandika hapa nikiwalenga watawala wetu,wafuasi ambao wako karibu yao,wamkumbushe mapema sana kabla hatujafika pabaya.Mungu anakusudi kubwa na kuna mengine lazima nitokee ndio yawe(sijui wakati utafika lini lakini na omba sana Mungu anipe kibali maana lazima vingine nitokee)

Nimefikisha ujumbe huu,kama hakutakuwa na mabadiliko basi ghazabu ya Mungu iwe juu ya hili taifa.Na kipindi yakitokea sitakuja kutoa msaada wowote ule.Nitaenda mataifa mengine na kuwaeleza yale yote wanayopashwa kufanya hili amani ipate kutawala ulimwenguni.
 
Umeandika upumbavu mtupu. Kwani mtu ukiwa mlokole lazima pia uwe na tatizo la kiakili? Nyie watu mnaoabudu kwenye makanisa ya kilokole wengi ni kama mataahira.
 
Umeandika upumbavu mtupu. Kwani mtu ukiwa mlokole lazima pia uwe na tatizo la kiakili? Nyie watu mnaoabudu kwenye makanisa ya kilokole wengi ni kama mataahira.
Ni upumbavu kweli lakini hata huyo kiongozi wako akiona huu ujumbe wako lazima atakucheka.Nyie ndio watu ambao hamna msaada wowote kwa huyo kiongozi

Nilipewa ujumbe wa dunia nzima hili taifa lenu ni dogo sana kiasi niwaze sana kuhusu habari zenu ndio maana unijui lakini viongozi wako wote wananijua na wakiona huu ujumbe lazima waogope.

Nikuhakikishie mnaenda kupitia magumu tena ambayo kipindi mtanihitaji sitakuepo.Nilikwambia sijifichi,mwambie huyo kiongozi atende haki.Mfikishie tu huo ujumbe na mwambie ni kijana yule ambaye alikuepo akapotea sasa anakaribia kurudi

Kama hakuna mabadiliko mwambie sasa Mungu anaenda kushusha kiama kwa taifa lenu(Ntaona kama wewe unaweza kuwanusuru)
 
Wewe ni mtu mpumbavu.
 
Nimeandika huu ujumbe kwenye jukwaa la siasa, nikiwa na lengo kwamba, kama kuna watu wako karibu na kiongozi wetu (Mh. Samia), basi wamwambie haki ndio njia pekee itaweza kurejesha mambo kwenye usawa. Akifanya tofauti, ajiandae kupitia magumu (binafsi kuna muda niliwaza nikae kimya, lakini kuna muda namuona huyu ni mama pia. Binafsi nampenda mama yangu; hivyo hata huyu najua ana watoto ambao wangependa kuona akifanikiwa. Hivyo mwambie: atende haki).
Siapenda kuzungumzia habari ya maono yako; akini inanilaziumu kwa ufupi kuwa, kama hayo maono yako bado hayamjui huyu unayemwita mama hadi katika hatua hii ya mwisho; nasikitika kabisa kukuambia kuwa maono hayo hayafai kabisa.

Bado unayo matumaini na huyu mtu mwovu kabisa atende HAKI, hadi hapa tulipo sasa?

Aiseeee, acha utani kabisa, na kupotezea watu muda wao kusoma maandishi kama haya!
 
Uongoing utapeli na ramli ,a kizwazwa na kujikomva utupiwe makombo kama chawa wengine. Uukommena ukomae
 
Huyo "mtu mpumbavu" ningependa sana angalau mara moja hii upumbavu wake uwe ni wa faida kwa taifa letu hili.
Ujue napoteza muda wangu ambao ningetumia kuwaza mengine yenye tija

Ni hivi atokee mtu(hapa naongelea watawala,nyie watawaliwa sina ujumbe wowote kwenu apuuze huu ujumbe)

Utajua kwamba Mungu yupo(uzuri kila nilichwambia sijaficha tafuta watu wanaojua watakwambia huyu aliyeandika hapa ni nani,nilieleza toka mwanzo nipo Kahama sifichi maana hakuna ninaye muogopa.Njoo nikuonyeshe ukweli wote ukitoka hapa utajua mnaelekea wapi)
 
Mkuu 'Seth', hivi hujui tu ni kiasi gani tunatamani maono yako yawe ya kweli; lakini kwa sasa hivi hatuwezi kamwe kuishi kwa kutegemea maono kama hayo yako.

Ninakuhimiza, mkuu, Oktoba 29, tutoke pamoja tukauondoe uovu huu unao tukabili sote wakati huu.

Nimejizuia sana kutosema mengine juu ya maono yako.

N.B., "Atokee mtu (watawala)....apuuze huu ujumbe" Unataka wapuuze mara ngapi? Wewe unadhani katika muda huu bado kuna cha kuwafanya wao warudi nyuma?
Kwa nini hukuwaambia mapema?
Haya maandishi yako humu JF umewapelekea na kuwakabidhi mikononi mwao, usiwe na shaka kuwa pengine hawakuuona ujumbe wako JF?

Unatuletea sisi hapa, halafu unasema sisi siyo walengwa; sasa unataka tufanye nini?
 
Anayewapa mamlaka ndio kanipa mimi ujumbe.Nimesema hivi nina ujumbe wa dunia nzima uzuri wapo watu wanajua mimi ni nani.

Nimekwambia kwa wenyeji wa Tanga nenda kuna kanisa lipo chini ya mtu anajiita nabii Frank Julius k(kanisa linaitwa Shiloh) kaulize kuna mtu alifika hapa 2016.Uliza alikuwa mtu wa namna gani.

Hapa siongelei ndoto, naongelea kitu nilichokiona na kusikia.Unaweza kuota jini(nimeona jini tena sio sehemu moja).Unaweza kuota misukule(nimeona misukule tena sio sehemu moja) na mengine ambayo nimesema kabla

Ujumbe huu ni kwa watawala sio watawaliwa.Sasa ukitaka kujua huu ujumbe umetoka kwa mwenye mamlaka.Atokee mtawala hapa apuuze kutenda vile nimewaomba(nimeomba haki itawale ndio amani itarejea na taifa litakombolewa).Huu ujumbe upuuzwe sasa uone nini kinaenda kutokea kama utaona natoa msaada wowote.

Nalipenda taifa langu ndio maana nimetoa ujumbe huu baada ya kuona tunaelekea pabaya.

Kuandamana ni haki yenu kikatiba(mwenye kutaka na afanye hivyo).Kupiga kura ni haki yenu kikatiba(mwenye kutaka na afanye hivyo)

Saa ya ukombozi ikifika nitakuwa mimi na Mungu wangu(sitahitaji hamasa ya watu au majeshi ya aina yoyote ile)
 
Kama ulisoma UDOM au una ndugu alisoma pale kamuulize mwezi wa sita Hummanities kulitokea nini?(Jibu atakupa) kama unataka mengine zaidi niambie nikuambie nilipo ushahidi utapata wewe na utawaeleza wenzio(Ombea taifa lenu safari inaweza isiwe nyepesi hii)
AMina
 
Ujumbe huu ni kwa watawala sio watawaliwa.Sasa ukitaka kujua huu ujumbe umetoka kwa mwenye mamlaka.Atokee mtawala hapa apuuze kutenda vile nimewaomba(nimeomba haki itawale ndio amani itarejea na taifa litakombolewa).Huu ujumbe upuuzwe sasa uone nini kinaenda kutokea kama utaona natoa msaada wowote.
Unazungukia mle mle; wakati ulikwisha sema mwenyewe hupendi kupoteza muda, kitu ambacho kwangu ni cha maana sana. Sasa ninakuvumilia kidogo tu, kwa sababu tayari ninajihisi kupoteza muda nawe.

Hivi hii hali umeanza kuiona leo? Umezungumzia 2016 huko, mimi sijui ni kitu gani kilitokea huko; lakini kweli wewe hali hii iliyopo nchini ndiyo kwanza umezinduka na sasa kuanza kuitolea maono, tena dakika za mwisho mwisho!
Nalipenda taifa langu ndio maana nimetoa ujumbe huu baada ya kuona tunaelekea pabaya.
Saa ya ukombozi ikifika nitakuwa mimi na Mungu wangu(sitahitaji hamasa ya watu au majeshi ya aina yoyote ile)
Sina muda tena wa kupoteza na mtu kama wewe.
Ujumbe wako ulipaswa kuwa umetolewa siku nyingi sana; sasa hivi tayari ulisha achwa na ndege!
 
Kuwa na subira.Hatuna muda mrefu sana tutaona mageuzi mengi kwenye hili taifa.Najua jeshi linaweza likawa halina hata mpango mpaka sasa(kwa maana kuna influence za wanasiasa,kuna ulafi, mengine yote ambayo watu wanaweza kusema)

Lakini niseme spiritual world ni ulimwengu ulio nje wa uwezo wetu na kila kitu kinaanzia kule.Hivyo ikiwa ilipangwa itatokea hakuna mtu atalizuia yani mtajikuta tu mambo yamekuwa.

Siogopi tena kumueleza huyu kiongozi wetu(mfikishieni ujumbe,haki itafanya utawala wake upate kibali.Kumbuka ni mrithi wa utawala wa nyuma ambao katika hicho kipindi yalitokea yote haya niliyoyaona)

Kuna mama mmoja tukiwa kanisani(hili lipo Mikocheni hili kanisa nakumbuka tulienda usiku kidogo na uchovu sikuweza kulitambua kwa haraka).Wakati tukisali pale bwana niliweza kupiga vile vyombo vyao kwa hisia(yani nlikuwa na command).Yule mama alisema mengi lakini alisema huyu mtoto ana nguvu na akasema vyombo vyake havitengenezi kiuhalali(alitaja na baadhi ya makumpuni,sitayasema haya na siwezi kusema)
Mkuu, nimekusoma tangu mwanzo wa uzi wako. Kila nikosoma roho yangu inaniambia wewe sio mtu wa kawaida. Ukute tunaongea na Malaika humu. Tatizo watu tu wabishi sana, hata nyakati za kurudi kwa YESU zikifika, kuna ambao wataendelea kubisha tu. MUNGU akubariki..
 
Ila me ndoto zangu hazina mafumbo, nashkuru Roho mtakatifu ananielewa sipendi kuzungushwa. Niliwahidithia humu ndani nimeota tupo katikati ya maandamano na jeshi limetuzunguka, ila wao walikuwa wamevaa mask wote, barabara ya mbezi chini ilijaaa watu mpaka hakupitiki ila ndo mana mnaaambiwa msali, mnadhani jeshi kuchukua nchi ni kitu chepesi? Mnadhani mtaweza kuling’oa jeshi? Jeshi likichukua nchi linatolewa na jeshi lingine, hiyo sasa ndo vita. Nchi za wenzetu walishapitia vita wakatengenez katiba yao wakakaa sawa, sisi tuliukwepa mchakato wa lazima kwa uwezo wa nyerere il hatimae umetufikia. Mungu atusaidie Watanzania, ninaamini kama Mungu anatuonesha haya maono… haitakuwa rahisi kulitoa jeshi likichukua nchi, mkitaka uthibitisho angalia nchi zote jeshi lilipochukua nchi sikiliza kama wanapanga uchaguzi ndani hiyo nchi
 
Back
Top Bottom