Ushuhuda wa kweli na habari njema kwa taifa la Tanzania

Ushuhuda wa kweli na habari njema kwa taifa la Tanzania

Nimeandika huu ujumbe kwenye jukwaa la siasa, nikiwa na lengo kwamba, kama kuna watu wako karibu na kiongozi wetu (Mh. Samia), basi wamwambie haki ndio njia pekee itaweza kurejesha mambo kwenye usawa. Akifanya tofauti, ajiandae kupitia magumu (binafsi kuna muda niliwaza nikae kimya, lakini kuna muda namuona huyu ni mama pia. Binafsi nampenda mama yangu; hivyo hata huyu najua ana watoto ambao wangependa kuona akifanikiwa. Hivyo mwambie: atende haki).

Amani na upendo viwe kwenu. Samahani kwa usumbufu wowote. (Taifa litakombolewa hili.)
Amen, kwanza asante na naunga mkono hoja yako kuhusu haki na kumpenda Mama ila title ya uzi wako ni ushuhuda wa kweli, mbona hujaweka ushuhuda wowote?
P
 
Amen, kwanza asante na naunga mkono hoja yako kuhusu haki na kumpenda Mama ila title ya uzi wako ni ushuhuda wa kweli, mbona hujaweka ushuhuda wowote?
P
Ushuhuda ninao kiongozi nimesema machache kwenye hii mada lakini kama unataka mengi zaidi naweza kuweka hapa kulingana na ambavyo utauliza au kwenye ujumbe binafsi(PM) ntaweza kujibu.Lengo ni kwamba wote tufike salama sina nia mbaya na taifa hili au viongozi wetu ndio maana ntakuwa wazi
 
Mwisho kabisa niwashukuru kila mtu ambaye kaweza kushiriki katika mada hii(Maoni yote nimesoma,nilipoweza nimejibu ambapo sijaweza nimeruka.Asanteni wote)

Ujumbe ulikuwa wa amani na upendo, ukilenga kuleta mshikamano kwa watanzania wote.Lengo ni tufike kipindi ambacho;

Masikini atafurahi kuona kuna matajiri(kwa maana ni madaraja katika maisha) na tajiri atatumia mali zake vyema kuinua wenzake.

Watawaliwa watafurahi kuona wanatawaliwa, na watawala hawatatumia madaraka yao kuwaumiza watawaliwa.

Wenye elimu watatumia elimu yao kwa manafuaa ya familia zao na jamii zao, na wasio kuwa na elimu wataitumia kama fursa ya kujifunza mazuri yenye tija.

Wenye ajira watawajibika vema katika majukumu yao, na wasiokuwa na ajira watahamasika na kufurahia matunda ya wenzao.

Tanzania ni taifa letu sote,tuishi kwa amani ,tependane na kuwaziana mema.

Kila la kheri kwa watakao shiriki uchaguzi(ni haki yao kikatiba) kila la kheri pia kwa watakao shiriki maandamano ya amani(ni haki yao kikatiba)

Mimi sio yule kapteni kusema nitarudi tena.Mimi ni Service Man(muhitimu wa mafunzo ya kijeshi,mujibu wa sheria 824 KJ)

Asanteni(Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki Afrika)
 
Kutegemea some imaginary being kuleta mabadiliko ndio kutasababisha kusitokee chochote tarehe 29.
 
Mleta uzi, mazombie ni viumbe gani??
Nimevipa majina kama mazombie(kutoka na experience za movies).Ki uhalisia wale viumbe nilishindwa kuelewa ni wa aina gani.Nimewaona mitaa ya Mbezi kuna bar moja hiko njiani pale(Nilifika pale kwenye harakati za kuwakimbia watu).Niwaona pia Chalinze tulishuka kupata chakula tukiwa tunatokea Tanga.Kiufupi nimeona mengi ambayo nikisimulia kawaida unaweza dhania ni ndoto.

Ni viumbe wamekaa kama binadamu lakini muonekano wa usoni ndio ulinipata utata kuelewa wale ni watu wa aina gani.Midomo hiko wazi(meno yanaonekana).Huku kwingine ni sawa na watu lakini sura zao ndio ilikuwa changamoto kwangu
 
Kingine nilisahau kutoa shukrani zangu za dhati kuna wamama wawili(umri ulikuwa umeenda naweza kuwaita bibi zangu)

Walikuwa hotel moja jirani na hilo kanisa la prophet Julius.Ni jengo la ghorofa moja(sikumbuki jina la hiyo hotel,wenyeji wa Tanga wanatakuwa wanajua).Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi(nilisahau kurudi kutoa shukrani)

Asanteni sana kama ujumbe utafika(ni mimi kijana wenu yule niliyefika pale 2016)
 
Kiongozi kama kuna sehemu nimedanganya nipo tayari kusimama kama shahidi kueleza hiki nilichosema.Na mapenzi mema na taifa na waheshimu viongozi wetu(kwa maana mwenyezi Mungu ndio hutoa mamlaka lakini ukweli lazima usemwe)
Mabadiliko ya jambo lolote hayatokei kwa maombi there should be actions.
 
Nimevipa majina kama mazombie(kutoka na experience za movies).Ki uhalisia wale viumbe nilishindwa kuelewa ni wa aina gani.Nimewaona mitaa ya Mbezi kuna bar moja hiko njiani pale(Nilifika pale kwenye harakati za kuwakimbia watu).Niwaona pia Chalinze tulishuka kupata chakula tukiwa tunatokea Tanga.Kiufupi nimeona mengi ambayo nikisimulia kawaida unaweza dhania ni ndoto.

Ni viumbe wamekaa kama binadamu lakini muonekano wa usoni ndio ulinipata utata kuelewa wale ni watu wa aina gani.Midomo hiko wazi(meno yanaonekana).Huku kwingine ni sawa na watu lakini sura zao ndio ilikuwa changamoto kwangu
Kwenye movie zombi likikuuma na wewe unakua zombie, vipi hap mazombi ya kitanga ikoje??
 
Kwenye movie zombi likikuuma na wewe unakua zombie, vipi hap mazombi ya kitanga ikoje??
Hawa mazombie bhana sikuwaona Tanga pekee.Ilikuwa hivi baada ya kutoka Dar tulienda Tanga,tumefika Tanga usiku kidogo nadhani ilikuwa majira ya saa mbili kwenda saa tatu.Kesho yake asubuhi tuliamkia kwenye kanisa la huyu nabii wenu(maana sidhani kama ni nabii wa Mungu,majina anaitwa Frank Julius K,kanisa linaitwa(Shiloh,kama sijakosea)

Tukiwa ndani ya kanisa mambo mengi ya mauza uza yalikuwa yanaendelea.Kuna wakati nilibanwa mkojo basi nikaomba nikakojoe(maana nilikuwa chini ya uangalizi wa ndugu zangu ambao hawakujua nini kinaendelea)

Nilienda chooni wakati nafika kule.Niliona mijitu imevaa sare kama za wafungwa(rangi ya njano)ikiwa imefungwa minyororo.Niliogopa kwanza lakini kutokana na matukio niliyokuwa nimepitia nikasema kama nikifo basi(mtu hafi mara mbili(ninayo sababu ya kusema hivi)).Sio watu wakawaida wale

Mengine nimeyaona tukiwa tunarudi Dar,moja tulilipandisha kwenye gari(stori ni ndefu siwezi kuimalizia yote)

Niliyoyaona tulipofika Mbezi ndiyo yaliniogopesha maana ni kama watu lakini tuliposhuka nikama yalikuwa yanataka kunisambulia maana tulishuka kuchukua chips nilikuwa na njaa
 
Kwa hiyo haya mazombie ndio yatampindua Rais Samia ??
 
Asante sana ndugu yetu, Mtanzania mwenzetu Kwa kulitakia mema Taifa.

Taifa la wote, Kwa maslahi ya wote sio ya wachache.

HAIWEZEKANI TAIFA LA WATU MILIONI 65 ILA WANAONUFAIKA NI FAMILIA KAMA 400 TU.
Ni jambo la kheri.Nipo hapa kukumbushia watawala kutenda haki.Najua wote hatuwezi kuwa watawala lakini furaha yetu tabaka tawaliwa ni kuona haki inatendeka.

Mwenyezi Mungu atakao wajalia kutawala hata ikawa familia moja sio kosa lakini wasipotenda haki kwa wale wanaowatawala.Niseme tu bila kuogopa hawatakuwa na mwisho mwema hapa duniani na hukumu inawasubiri.

Tunao muda wa kujirekebisha kila mmoja wetu.Lakini tukipuuza tunaenda pabaya.Heaven is real, so does hell
 
Kwa hiyo haya mazombie ndio yatampindua Rais Samia ??
Rais hawezi kupinduliwa na zombie(huu ni ukweli).Rais atapinduliwa na jeshi lake(huu ni ukweli pia ambao muda mimi sijui na wewe pia hujui lakini litatokea)

Huu ni ufunuo wa kimbingu na hakuna atakayeweza kuzuia.Nachoweza kushauri watawala tendeni haki hili tusiwe na mwisho mbaya wote
 
Niliwahi kuandika Uzi humu ndani baada ya Serikali kuifungia jamii forum na X ( zamani Twitter) nilisema.....

" JWTZ you should not only protect our borders, you should also protect our freedom"

HAIWEZEKANI serikali inafungia mitandao ambayo watu wengi wanaitumia kupata habari, kufanya biashara na ajira Kwa wengine Kwa maslahi binafsi.

Mimi H.Y. Jumbe naomba sana Jeshi la wananchi Tanzania lichukue Nchi mapema sana.
 
Na iwe hivyo. Amina
 
Kuwa na subira.Hatuna muda mrefu sana tutaona mageuzi mengi kwenye hili taifa.Najua jeshi linaweza likawa halina hata mpango mpaka sasa(kwa maana kuna influence za wanasiasa,kuna ulafi, mengine yote ambayo watu wanaweza kusema)

Lakini niseme spiritual world ni ulimwengu ulio nje wa uwezo wetu na kila kitu kinaanzia kule.Hivyo ikiwa ilipangwa itatokea hakuna mtu atalizuia yani mtajikuta tu mambo yamekuwa.

Siogopi tena kumueleza huyu kiongozi wetu(mfikishieni ujumbe,haki itafanya utawala wake upate kibali.Kumbuka ni mrithi wa utawala wa nyuma ambao katika hicho kipindi yalitokea yote haya niliyoyaona)

Kuna mama mmoja tukiwa kanisani(hili lipo Mikocheni hili kanisa nakumbuka tulienda usiku kidogo na uchovu sikuweza kulitambua kwa haraka).Wakati tukisali pale bwana niliweza kupiga vile vyombo vyao kwa hisia(yani nlikuwa na command).Yule mama alisema mengi lakini alisema huyu mtoto ana nguvu na akasema vyombo vyake havitengenezi kiuhalali(alitaja na baadhi ya makumpuni,sitayasema haya na siwezi kusema)
 
Back
Top Bottom