Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
Kama atalifanyia kazi ni jambo la kheri lakini akipuuza tunaenda kwenye magumu wote(bila kujali cheo,utajiri wako au nguvu nyingine ulizo nazo,tuwe wamoja tujenge taifa letu la ahadi)Amina,amesoma ameelewa,naamini atalifanyia kazi
Hatuendi wote ataenda peke yake na hata sasa nikama ameanza kuyapitia.Kama atalifanyia kazi ni jambo la kheri lakini akipuuza tunaenda kwenye magumu wote(bila kujali cheo,utajiri wako au nguvu nyingine ulizo nazo,tuwe wamoja tujenge taifa letu la ahadi)
Atakuja kukwambia ameoteshwa,mara ana jicho la tatu linaona kila kitu,Kijana acha mikwara
Sio mikwara kiongozi nasema ukweli ambao najua kilichopo mbele yetu.Mimi ni shahidi(muda ni shahidi pia).Kuwa na amani Mungu ndiye mwenye kujua ukweli.Kila la kheriKijana acha mikwara
Kaka mambo yasiwe mengi naheshimu mawazo yako. Asipotii nini kitatokea na akitii ataepushwa na nini?Sio mikwara kiongozi nasema ukweli ambao najua kilichopo mele yetu.Mimi ni shahidi(muda ni shahidi pia).Kuwa na amani Mungu ndiye mwenye kujua ukweli.Kila la kheri
Kila mtu atasema yake lakini waliokuwa UDOM(Hummanities wanajua kilitokea nini 2016 anayesema uongo niseme tu amani iwe juu yake.Muda utasema ukweli)Hatuendi wote ataenda peke yake na hata sasa nikama ameanza kuyapitia.
Yeye anajua .
Waliyokaribu yake wanajua .
Na Taifa linajua
Yaleyale ya Robert heriel. Alikua anaweka post kibao akitoa tahadhali kuwa watibeli wameoteshwa kuna pigo kubsa endapo lissu asipoachiliwa kabla ya tarehe 7 September. Haya September imepita mbona hazungumzii tena hilo😅😅Atakuja kukwambia ameoteshwa,mara ana jicho la tatu linaona kila kitu,
Hii Dunia inazidi kujaa watu wajinga wajinga tu,
Comment yangu haipo kisiasa.
Mkuu changamoto nyingi unazoona zinalalamikiwa na wananchi msababishaji/mlezi mkuu wa hayo ni wananchi ndo maana hata unaposoma mawazo yao katika kutafuta muafaka unaona vichekesho tupu.Atakuja kukwambia ameoteshwa,mara ana jicho la tatu linaona kila kitu,
Hii Dunia inazidi kujaa watu wajinga wajinga tu,
Comment yangu haipo kisiasa.
Mkuu changamoto nyingi unazoona zinalalamikiwa na wananchi msababishaji/mlezi mkuu wa hayo ni wananchi ndo maana hata unaposoma mawazo yao katika kutafuta muafaka unaona vichekesho tupu.Atakuja kukwambia ameoteshwa,mara ana jicho la tatu linaona kila kitu,
Hii Dunia inazidi kujaa watu wajinga wajinga tu,
Comment yangu haipo kisiasa.
Haki ni msingi katika kila kitu unachotenda.Mungu wako anapenda haki(wasioamini sio kosa langu).Kama akitenda tofauti majibu wote tutaona(Nasimama kama shahidi na sio mwenye hukumu.Mungu yupo na atatenda kwa wakati wake.Mwenye kutaka ushahidi ntaweka hapa sina cha kuficha tena)Kaka mambo yasiwe mengi naheshimu mawazo yako. Asipotii nini kitatokea na akitii ataepushwa na nini?
Weka kwanza huo ushahidiHaki ni msingi katika kila kitu unachotenda.Mungu wako anapenda haki(wasioamini sio kosa langu).Kama akitenda tofauti majibu wote tutaona(Nasimama kama shahidi na sio mwenye hukumu.Mungu yupo na atatenda kwa wakati wake.Mwenye kutaka ushahidi ntaweka hapa sina cha kuficha tena)
Yani mtu anataka atatue changamoto za nchi kwa kuja na porojo za unabii,sijui kuoteshwa,nimeona kwa jicho la tatu,mimi nina maono! like serious? huu kama sio ujinga ni nini? hawa wenye mawazo haya ndio hawa Gen Z wetu au kuna wengine?Mkuu changamoto nyingi unazoona zinalalamikiwa na wananchi msababishaji/mlezi mkuu wa hayo ni wananchi ndo maana hata unaposoma mawazo yao katika kutafuta muafaka unaona vichekesho tupu.
Comment yangu ipo kisiasa kutokana na wakati tuliopo na hali tuliyonay
Ushahidi wa kilichotokea UDOM 2016Weka kwanza huo ushahidi
Hilo lipo wazi mazingira ya utendaji wa haki kwa mifumo ya kiserikali nchini mwetu imekua kitendawili kisichoteguka kutoka kipindi cha Governor Richard Turnbull hadi Samia, hapa katikati wote hawakutenda haki na ww unajua vizuri hawakutenda haki Mungu aliwafanya nini hawa walionyima wengi haki zao? Kwanini Mungu akupe Alert leo?Haki ni msingi katika kila kitu unachotenda.Mungu wako anapenda haki(wasioamini sio kosa langu).Kama akitenda tofauti majibu wote tutaona(Nasimama kama shahidi na sio mwenye hukumu.Mungu yupo na atatenda kwa wakati wake.Mwenye kutaka ushahidi ntaweka hapa sina cha kuficha tena)
Kama ulisoma UDOM au una ndugu alisoma pale kamuulize mwezi wa sita Hummanities kulitokea nini?(Jibu atakupa) kama unataka mengine zaidi niambie nikuambie nilipo ushahidi utapata wewe na utawaeleza wenzio(Ombea taifa lenu safari inaweza isiwe nyepesi hii)Weka kwanza huo ushahidi
Ngoja tuende nae taratibu ajibu maswali yetu mzeee wa "Mungu atatenda"Yani mtu anataka atatue changamoto za nchi kwa kuja na porojo za unabii,sijui kuoteshwa,nimeona kwa jicha la tatu,mimi nina maono! like serious? huu kama sio ujinga ni nini? hawa wenye mawazo haya ndio hawa Gen Z wetu au kuna wengine?
Namshauri mleta mada akajaribu kupima malaria coz hua yanakuja na kaukichaa fulani hivi.