Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
-
- #41
Sasa wanavyo tuhamasisha tujifukize lengo lao nini haswa? Kama hata hiyo ina madhara mbona watanzania tutaisha kwa mtindo huo
halafu ukapona baada ya kunywa pilton.Binafsi nlipoanza kupata such symptoms nilikimbilia kutumia tuba asilia pamoja na hizo za kufukiza nyungu. Lkn hazijasaidia na zilinipelekea shida ya upumuaji kwa vile wadudu waliendelea kushambulia kifua na mapafu.
Niliporudi kwa doctor aliniambia niache kujifukiza mara moja ni hatari kwa pumzi.
Wewe pia muongo na unaagenda yako ya siri. Jibu hoja kwa hoja na sio kupinga tuhuyu ni muongo na mnafiki, sibezi uwepo wa huu ugonjwa ila mwandishi wa hii story ni muongo na ana lengo lake spesheli
Anafaidika nini akisema serikali ya Tanzania iwajibike kusimamia afya za watanzania?Kwa sababu unakaa Huko Huko na ulitoka Huko Huko huku unasema ulipata corona Tanzania na ukatibiwa Huko Huko Basi andiko na ujumbe wako unakosa uharali wa kuaminika,
What if ukiwa umetumwa?????
Shame.
Ingekuwa hivyo tungekuwa na kiwanda cha dawa tiba kama sii chanjo . Na tunavuta mpunga hukoduniani.Una uhakika tangawizi na pilipili hazijafanyiwa utafiti?
Ndio mkuu.. wanasema unajenga kinga kwa miezi 6 hivi(siyo ya kudumu)
Bwashee na wewe umeshachanja?Huyu anataka kuwachanganya watanzania!
Pilton my foot. Nna dozi za sindano za drip kila siku kwa muda wa siku 10 na mazaga zaga ya madawa kibao zikiwemo za kuongeza immune.halafu ukapona baada ya kunywa pilton.
Bwashee mimi napiga nyungu tu!Bwashee na wewe umeshachanja?