Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Akili zetu hizi zimeshakuwa eroded na siasa uchwara zinazofanywa awamu hiiHuyu anataka kuwachanganya watanzania!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili zetu hizi zimeshakuwa eroded na siasa uchwara zinazofanywa awamu hiiHuyu anataka kuwachanganya watanzania!
Hata kama ni muongo ushauri wake una hasara gani kwetu au wewe ndie mnafiki? Kwa nini hutaki serikali na wananchi wachukue tahadhali ili kuokoa maisha?huyu ni muongo na mnafiki, sibezi uwepo wa huu ugonjwa ila mwandishi wa hii story ni muongo na ana lengo lake spesheli
Hizi ndo Akili zetu,unadhani hapa kwetu hatufii,siku ukiujua ukweli huu ujinga utakuishaPEEEPOOO PEPOOO KEMEA PEPOOO! MCHUNGAJI PEPOOO KEMEA PEPOOO! MCHUNGAJI TAPELI KEMEA PEPOOOOO!! (Wimbo wa Masanja)..
AminaNimesoma hadi machozi yamenitoka.... Mungu wa mbinguni atupiganie . Corona ni mbaya sio ya kufanyia mzaha
AminaNimesoma hadi machozi yamenitoka.... Mungu wa mbinguni atupiganie . Corona ni mbaya sio ya kufanyia mzaha
Matokeo yake ni msiba mzito kwa familia nyingi na taifa.Umeongea point kubwa
1. Poor leadership
2. Umasikini wetu
3. Ujinga wa watu wetu
Kabisa MkuuHili bandiko linafaa liwekwe sticky!
Maana inafundisha hata namna wenzetu wanavyoapproach tiba kisayansi. Siku hizi kiwango cha vifo huko Marekani kimepungua sana siyo kama kipindi kile huu ugonjwa ulipokuwa mpya huko
🤔na joto la mwili wangu lilikuwa juu mno kiasi cha nyuzi joto 103 F na lilikuwa haliteremki.
Watakuambia hatuthamini vya kwetu, tunathamini vya beberu!bwahaahahah... hiyo sio tafiti. siitaji kuuziwa.
weka publication ya research zilizofanyika na results zake.
Lengo gani mkuu? He tueleze wewe ulieliona, na kuna kitu gani alichoandika hapo ni uongo?huyu ni muongo na mnafiki, sibezi uwepo wa huu ugonjwa ila mwandishi wa hii story ni muongo na ana lengo lake spesheli
mkuu utaambiwa umetumwa na mabeberu
Ukienda hospital ndio unaona hali halisi. Wanaosaidiwa oxygen ni watu wengi mpk nafasi zimejaa. Acha mkuu. Izi story zisikie tu.Sasa wanavyo tuhamasisha tujifukize lengo lao nini haswa? Kama hata hiyo ina madhara mbona watanzania tutaisha kwa mtindo huo
Habari ya nyungu ni upumbavu mkubwa! Kama unaumwa corona, ukitaka hali iwe mbaya zaidi, au uwahi kuondoka, piga nyungu.Hata huko hospital mkuu watu hawapigwi nyungu bali wanawekewa oxygen.Nyungu ziko promoted Sana na wanasiasa uchwara wanaokwepa majukumu yao