Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Mambo ya kina Elizabeth Ann, kikubwa kukusanya hizo$100..Yaani mkuu hata kama hawakuandaliwa mtu kuandika negative...ukweli ni kwamba wanaripua tu kutoa majibu....wageni ni wengi sana unadhani wanao huo muda wa kuwa accurate.....
Kwa kuwa nchi yetu imegeuka kuwa nchi waongo na waongopewa ,ndiyo maana anaonekana mchanganya wanachiHuyu anataka kuwachanganya watanzania!
Umeongea point kubwaPole ndugu yetu.kwenye haya mambo ya kusema uongo dhidi ya covid_ 19 hata Mimi nimeyashuhudia.kwa kifupi ni kuwa kwenye issue ya Corona,Tanzania na watanzania tumekosa leadership,kukosa kwetu leadership ukichanganya na umasikini tulionao plus ujinga wa mtanzania,inakuwa msiba mzito kwa taifa hili.tutakufa sana
Unataka jipya la zamani umeshalisolve?KWANZA, sioni jipya ambalo halijulikani na sidhani kama kweli wewe unaishi Marekani.
PILI, mojawapo ya maelekezo ya kupambana na CORONA ni kutofanya safari kama hakuna ulazima- wewe nawe siyo mwangalifu kwa kitendo chako cha kusafiri wakati huu.
Ni kweli hilo halina ubishi.kila MTU ATAKUFA
Siyo watanzania,Wana ccmHuyu anataka kuwachanganya watanzania!
Ndiyo mkuu- endeleaUnataka jipya la zamani umeshalisolve?
Huyo huyo uliyesoma habari zake!Huyu mchungaji gani feki huyu
Wewe ndiye muongohuyu ni muongo na mnafiki, sibezi uwepo wa huu ugonjwa ila mwandishi wa hii story ni muongo na ana lengo lake spesheli
bwahaahahah... hiyo sio tafiti. siitaji kuuziwa.Ukila tu tangawizi na pilipili kichaa ni utafiti tosha.
Nakutumia buku ukanunue ili utafiti!