SWALI B. JE UPONYAJI WA LEO NI KWA NAMNA ILEILE ALIYOPONYA YESU, MITUME NA MANABII?.
tutafakari
(b) kiwango cha mafanikio
(i)luka 6:19 yesu aliponya umati. Matendo 5:15-16 petro aliponya umati. .
leo je, Kwenye majukwaa ya makongamano,warsha ,semina za kiuponyaji wangapi huponywa, kati ya wanaoponywa wangapi unawafahamu.? Kati ya unaowafahamu iliwachukua muda gan kupona mpaka huuite muujiza?...
(c) namna ya kufanikiwa..
tofauti na enzi za yesu na mitume wa mapema. . Leo wagonjwa ni wengi hospitali znajaa. Waponyaji mpo wap? Mnataka tu mfuatwe? Kaponye mahospitali,majumba na hata barabaran.(walemavu mkiwakuta simamishe RAV4 , RANGES ZENU MUWAPONYE MUENDE)
(d) visingizio hali ikiwa tete.
Huenda ukaambiwa mgonjwa wako hana IMANI... YESU HAKUWAHI Kushindwa kumponya mtu eti kakosa imani.
(e) maisha ya waponyaji. (simaanishi utajir na umasikin wao)
Je, ni waadilifu? Niwashikamanifu wa ndoa zao. Je hawawi CASINO wakila raha?
Sasa tujibu swali Hili
1. NINI CHANZO CHA NGUVU KWENYE UPONYAJI WA MIAKA YA LEO?