tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,016
- 1,946
Hivi bado hujateuliwa tu mpaka sasa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipata shida gani?Watu humu wanakubeza tu kwa sifa za kijinga hawajawahi kuwa kwenye critical situation ya ugonjwa na solution za ma Dr zimeshindwa, honestly Mimi anointing water umewahi kuni save Leo ningekuwa kaburini maana hali yangu was bad, baadaeya ku sprayiwa nikawa mzima, miujiza hutendeka kila siku sema watu hawaini science and technology na kutumia techno kumewaharibu
Yani we acha tu staki kukumbuka hyo siku, I wonder watu wananishambulia mtu aliyetoa ushuhuda wanasahau Imani ni kitu kingine kabisaUlipata shida gani?
Hayo hayo mkuu, and I was in critical condition hata kujua haya maji ni ya joshua, au mwaposa sikujua I was in comma, laying on my bed bila kujua chochote, so nilivopuliziwa I came to my sense mzima, even dr alishasema huyu kupona ni majaliwa. Wewe mwenyewe ukitumia power zako vizuri waweza kufanya makubwa, ombeni tu yasiwakute muwe wazima daima, ukiwa na mgonjwa jambo limeshindikana hospital utatumia kila mbinu kusaidia kuokoa maishaMkuu haya haya haya maji ya tapeli Joshua? Hivi ukiomba wewe mwenyewe kwa imani huwezi kusikilizwa?
Yesu hawezi kuwa MunguTunampenda Yesu na Yesu ni Mungu lakini huu uzi ni hovyo
Mkuu mimi sijakataa hata siku moja kuhusu kuomba. Na mtu ukiwa kwenye shida ni kweli lazima utatafuta kila suluhisho wakati mwingine hata usijue ni nini hasa kimekuponyesha. Ila kuhusu maji ya Joshua kusema ukweli siamini hata kidogo. Yule jamaa mimi naona ni mtafuta fedha tu. Yesu hata siku moja hakuwa anauza huduma yake sana sana alikuwa anawafuata wahitaji badala ya wahitaji kumfuata. Huyo jamaa watu wameshambulia sana kwa sababu ya background yake. Siyo mtu wa kuamini kwani wanasiasa siku hizi ndiyo wanaongozo kwa utapeli na inaonekana kabisa kuna kitu analengaHayo hayo mkuu, and I was in critical condition hata kujua haya maji ni ya joshua, au mwaposa sikujua I was in comma, laying on my bed bila kujua chochote, so nilivopuliziwa I came to my sense mzima, even dr alishasema huyu kupona ni majaliwa. Wewe mwenyewe ukitumia power zako vizuri waweza kufanya makubwa, ombeni tu yasiwakute muwe wazima daima, ukiwa na mgonjwa jambo limeshindikana hospital utatumia kila mbinu kusaidia kuokoa maisha
Mkuu Zabron Hamis heshima kwako. Kutokana na hayo uliyoandika naomba nikuulize maswali machache:-Nina watu ninaowafahamu walitumia hayo maji yenu na hakuna kilichobadilika hata chembe pamoja na kubandika masticka ya huyo TeraByte Joshua kila mahali. Halafu mbna jamaa ni mtu wa kawaida sana lakini mmefanya kama Mungu?
Lengo lake limefeli vibaya sana.Mkuu mimi sijakataa hata siku moja kuhusu kuomba. Na mtu ukiwa kwenye shida ni kweli lazima utatafuta kila suluhisho wakati mwingine hata usijue ni nini hasa kimekuponyesha. Ila kuhusu maji ya Joshua kusema ukweli siamini hata kidogo. Yule jamaa mimi naona ni mtafuta fedha tu. Yesu hata siku moja hakuwa anauza huduma yake sana sana alikuwa anawafuata wahitaji badala ya wahitaji kumfuata. Huyo jamaa watu wameshambulia sana kwa sababu ya background yake. Siyo mtu wa kuamini kwani wanasiasa siku hizi ndiyo wanaongozo kwa utapeli na inaonekana kabisa kuna kitu analenga
Akijibu aongezee na jinsi nyungu na bupiji ilivyomsaidia.Huo ugonjwa mkeo kaupatia wapi ma sisi raisi katumbia hakuna huo ugonjwa Tanzania. CCM huwaga kwenye 18 mnajichangaya wenyewe
Nahitaji majibu kuhusu hili
1. Mkeo alikuwa mgonjwa unadhani atakuwa ameambukiza wangapi ?
2.tunapoambiwa huu ugonjwa haupi tz yeye kautolea wapi
3. Hao wanaosema ugonjwa haupo na wana mamlaka ya uwongozi unadhani hao ni viongozi wazuri na wanafa kuliongoza taifa hili
4. Unaamini huo ugonjwa upo katika jamii na kama upo je? Upo kwa kiasi gani?
Leslie Mbena nakusubiri
Mama Amon