Ushuhuda wa mke wangu kupona COVID19 baada ya kumuombea kwa kutumia medium ya new annointing water ya TB Joshua

Ushuhuda wa mke wangu kupona COVID19 baada ya kumuombea kwa kutumia medium ya new annointing water ya TB Joshua

Hili tangazo la biashara?
CV ya kuombea kazi?
Bado sijaelewa hapo
Anapiga kotekote. Msipompa ajira mtanunua maji[emoji16]. Eti hawa ndio waende mbinguni kusifu na kuabudu, thubutu. Wanadhani huyo Mungu ni kama mwenyekiti wa chama cha siasa kwamba kujipendekeza kwake ndio kupata cheo[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Mpaka wanakera
 
Kizazi cha wana wa wakaldayo naona wamepaniki, kwao ni upuuzi anyway mtoa post shika sana ulichonacho kisije twaliwa amin
Ameen.
Hakuna jambo gumu la kumshinda bwana yesu.yeye ni kama mlima sayuni hata tikisika milele daima.
Ujumbe hasa wa Leslie Mbena uko hapa [emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20210226-233331.jpg
 
Watu humu wanakubeza tu kwa sifa za kijinga hawajawahi kuwa kwenye critical situation ya ugonjwa na solution za ma Dr zimeshindwa, honestly Mimi anointing water umewahi kuni save Leo ningekuwa kaburini maana hali yangu was bad, baadaeya ku sprayiwa nikawa mzima, miujiza hutendeka kila siku sema watu hawaini science and technology na kutumia techno kumewaharibu
 
Haaaahaaaa nimecheka kifala watanzania wa JF nikiwemo na mimi tunavyomshushia mapovu ya laki mbili huyu mataga,

Ila mwamba kazingua sana yaani sijui ukiwa mbogamboga fc akili wanazihifadhi chooni sijui?

Mapovu yaendelee japo kuna mijitu humu inamtetea huyu zero brain wa Lumumba yaani CV yake inaonesha msomi ila huko mataga aliko kumemfanya ubongo wake uwe mchanganyiko na kimba aghhhhhh jirekebisheni mnamtia aibu mwenyekiti wenu shwaini!
 
Jamani huyu ndugu yangu aliwahi kuishi Mwanza akifanya kazi kwenye bank kubwa sana hana njaa yeyote ya kuwataka mnunue hiyo anointed water anatoa ushuhuda wake na kwa imani yake mke wake kaponywa nadhani mngepatwa na mtihani aliopitia msingemkejeli
Hivi mtu ukipiga goti na kuomba mwenyewe kwa imani Yesu hawezi kukusaidia mpaka utumie vichupa vya maji? Na mtu ambaye yuko vijijini huko asiye na connection yoyote wala uelewa wa haya maji Yesu atakataa maombi yake kwa sababu hajatumia hayo maji? Nyie ndiyo mnafanya watu wapoteze imani na dini kwa shuhuda zilizojaa uongo. Unasema amefanya kazi bank kubwa mbona aandishi wake hauonyeshi kama ni mtu mwenye weledi?
 
Watu humu wanakubeza tu kwa sifa za kijinga hawajawahi kuwa kwenye critical situation ya ugonjwa na solution za ma Dr zimeshindwa, honestly Mimi anointing water umewahi kuni save Leo ningekuwa kaburini maana hali yangu was bad, baadaeya ku sprayiwa nikawa mzima, miujiza hutendeka kila siku sema watu hawaini science and technology na kutumia techno kumewaharibu
Mkuu haya haya haya maji ya tapeli Joshua? Hivi ukiomba wewe mwenyewe kwa imani huwezi kusikilizwa?
 
Back
Top Bottom