Jamani huyu ndugu yangu aliwahi kuishi Mwanza akifanya kazi kwenye bank kubwa sana hana njaa yeyote ya kuwataka mnunue hiyo anointed water anatoa ushuhuda wake na kwa imani yake mke wake kaponywa nadhani mngepatwa na mtihani aliopitia msingemkejeli
Anapiga kotekote. Msipompa ajira mtanunua maji[emoji16]. Eti hawa ndio waende mbinguni kusifu na kuabudu, thubutu. Wanadhani huyo Mungu ni kama mwenyekiti wa chama cha siasa kwamba kujipendekeza kwake ndio kupata cheo[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Hili tangazo la biashara?
CV ya kuombea kazi?
Bado sijaelewa hapo
Mpaka wanakeraAnapiga kotekote. Msipompa ajira mtanunua maji[emoji16]. Eti hawa ndio waende mbinguni kusifu na kuabudu, thubutu. Wanadhani huyo Mungu ni kama mwenyekiti wa chama cha siasa kwamba kujipendekeza kwake ndio kupata cheo[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ameen.Kuna watu wataingia mkenge?
Ehe hayo maji kichupa bei gani
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Limeweka na CV kabisa hapo chini. CV na muujiza wa maji ya Mwamposa wapi na wapi? Na Jiwe kasema hateui tena !!!Unatumia kila mbinu ili tu ufurahishe mamlaka ya uteuzi ikuteue....jiajiri tu mkuu sio lazima wote mteuliwe
Kizazi cha wana wa wakaldayo naona wamepaniki, kwao ni upuuzi anyway mtoa post shika sana ulichonacho kisije twaliwa amin
Ujumbe hasa wa Leslie Mbena uko hapa [emoji116][emoji116][emoji116]Ameen.
Hakuna jambo gumu la kumshinda bwana yesu.yeye ni kama mlima sayuni hata tikisika milele daima.
Hivi mtu ukipiga goti na kuomba mwenyewe kwa imani Yesu hawezi kukusaidia mpaka utumie vichupa vya maji? Na mtu ambaye yuko vijijini huko asiye na connection yoyote wala uelewa wa haya maji Yesu atakataa maombi yake kwa sababu hajatumia hayo maji? Nyie ndiyo mnafanya watu wapoteze imani na dini kwa shuhuda zilizojaa uongo. Unasema amefanya kazi bank kubwa mbona aandishi wake hauonyeshi kama ni mtu mwenye weledi?Jamani huyu ndugu yangu aliwahi kuishi Mwanza akifanya kazi kwenye bank kubwa sana hana njaa yeyote ya kuwataka mnunue hiyo anointed water anatoa ushuhuda wake na kwa imani yake mke wake kaponywa nadhani mngepatwa na mtihani aliopitia msingemkejeli
Mkuu haya haya haya maji ya tapeli Joshua? Hivi ukiomba wewe mwenyewe kwa imani huwezi kusikilizwa?Watu humu wanakubeza tu kwa sifa za kijinga hawajawahi kuwa kwenye critical situation ya ugonjwa na solution za ma Dr zimeshindwa, honestly Mimi anointing water umewahi kuni save Leo ningekuwa kaburini maana hali yangu was bad, baadaeya ku sprayiwa nikawa mzima, miujiza hutendeka kila siku sema watu hawaini science and technology na kutumia techno kumewaharibu