ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
GTs,
Leo ikiwa siku ya dominika murua kabisa nimeamka zangu jijini nikiwaza hili na lile na nikitafakari namna maisha yavyoenda.
Nikiwa nawaza mara paap simu ya mkulima toka vijiji vya mbaali kabisa, nikapokea simu.
Mkulima …Halooo
ChawaWaMama … Ndiyo habari za leo?
Mkulima… Nzuri mno, za mjini?
ChawaWaMama …. Huku mjini hatujambo kabisa ile bei za vyakula iko juu mno, nyie huko hali ikoje?
Mkulima….. Dahh aisee huku sisi tunafurahi bei za vyakula kupanda kwa sababu kipindi hiki ndiyo tunaona thamani ya kuwa mkulima, hapo enzi fulani hapakuwa na usawa wa gharama za kilimo na bei za mazao. Mimi kuna kupindi nililima mahindi nikapata gunia 90, nikaziweka nikisubiri bei ipande ila kinyume chake bei ilishuka na nilipata hasara kubwa sana. Ila Rais Samia amefanya vizuri kufungulia mipaka ili pia wakulima tufaidike.
ChawaWaMama …. Hongereni sana. Tuzidi kumuunga mkono rais Samia ili aboreshe maisha ya watanzania.
Mkulima…. Sisi wakulima tunamuunga mkono rais Samia na asiwe na wasiwasi kura zake zipo 100%.
Hitimisho: Kumbe hili suala la bei za vyakula ni agenda ya mjini tu ila wakulima ambao ni zaidi ya 80% wanafaidika ambao ndiyo wapiga kura.
Tumuunge mkono Rais Samia, ni Samia tu 2025-2030!