Mimi sitaweza kwakweli, miaka 14 bila kitu cha kufanya seriously??.. Labda kama ni ugonjwa maybe kapalarize au ulemavu nitavulimia ila sio tu kukaa bila kufanya kitu na ana nguvu zake anakula tu na kulalaIla wewe miaka 14 kuweza? Sio kwamba siku 2 tu ushaanza kumpelekesha Mzee wa watu?
Kwahiyo katika hiyo miaka 14 alikuwa anafwatilia kesi tuu bila kujishughulisha na kitu kingine?? Mfano kusaidiana na bimkubwa hizo kazi ndogo ndogo au hata kamchongo kengine?? Miaka 14 yote???Habari wana JF
Leo nawapa ushuhuda wa maisha ya ndoa ya wazazi wangu...
Baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama anafanya biashara ndogondogo amekuwa ndio kila kitu chakula, mavazi, ada za shule na mahitaji mengine...
Wakati baba anaendelea kufatilia kesi yake ya kuachishwa kazi bila sababu na fidia zake ambazo hakuweza kuzipata mpaka tunamzika mwaka jana RIP....
SOMO
Je, wanawake wa sasa hivi wanaweza kuishi na mwanaume asiye na kipato kwa miaka 14 bila hata kusikia ugomvi wa masuala ya kifedha...
Kila nikimuangalia mama huwa najiuliza, wapi naweza kupata aina hii ya wanawake ili niishi kwa amani nikijua kwamba nina jembe ndani. Hata siku nikikosa naweza kurudi nyumbani nikamwambia akanielewa...
Mahusiano siku hizi bila pesa hayaendi kabisaa....
Ndoa zimekuwa kama business partnership....
Sasa kibarua kimeota nyasi Mama uwe na uvumilivu siku moja atapata tu hata baada ya miaka 20, univumilie kesho nitapasua maweMimi sitaweza kwakweli, miaka 14 bila kitu cha kufanya seriously??.. Labda kama ni ugonjwa maybe kapalarize au ulemavu nitavulimia ila sio tu kukaa bila kufanya kitu na ana nguvu zake anakula tu na kulala
Kwakweli mimi hapana.. Nitamtafutia mtaji ilimradi tu apate hata biashara sio tu kukaa hivihiviSasa kibarua kimeota nyasi Mama uwe na uvumilivu siku moja atapata tu hata baada ya miaka 20, univumilie kesho nitapasua mawe
Kwa hio wewe ndio unatoa mtaji akiuliza umeutoa wapi na wewe huna kazi ya kueleweka zaidi unanijibu nini?Kwakweli mimi hapana.. Nitamtafutia mtaji ilimradi tu apate hata biashara sio tu kukaa hivihivi
Ndomana napambana nijipate kabisa kiuchumi ndo niingie kwenye masuala ya mahusiano na mapenzi na mtoto wa mtu,, hope mpaka nitakapofunga ndoa nitakua niko somewhere hatakua na mashakaKwa hio wewe ndio unatoa mtaji akiuliza umeutoa wapi na wewe huna kazi ya kueleweka zaidi unanijibu nini?
Your story ni sawa na yangu. Japo mimi wote walianza saidiana kwa sababu before mama alikuwa mama wa nyumbani tu. RIP mzee, ulitupigania sana.Habari wana JF
Leo nawapa ushuhuda wa maisha ya ndoa ya wazazi wangu...
Baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama anafanya biashara ndogondogo amekuwa ndio kila kitu chakula, mavazi, ada za shule na mahitaji mengine...
Wakati baba anaendelea kufatilia kesi yake ya kuachishwa kazi bila sababu na fidia zake ambazo hakuweza kuzipata mpaka tunamzika mwaka jana RIP....
SOMO
Je, wanawake wa sasa hivi wanaweza kuishi na mwanaume asiye na kipato kwa miaka 14 bila hata kusikia ugomvi wa masuala ya kifedha...
Kila nikimuangalia mama huwa najiuliza, wapi naweza kupata aina hii ya wanawake ili niishi kwa amani nikijua kwamba nina jembe ndani. Hata siku nikikosa naweza kurudi nyumbani nikamwambia akanielewa...
Mahusiano siku hizi bila pesa hayaendi kabisaa....
Ndoa zimekuwa kama business partnership....
Aaaha kwa hio mpaka uwe na akiba ya kutosha ndio unaingiamo huko ili kusudi likitokea la kutokea unafanya utatuzi wa haraka, duuh kumbe upo singo au umetoa mfanoNdomana napambana nijipate kabisa kiuchumi ndo niingie kwenye masuala ya mahusiano na mapenzi na mtoto wa mtu,, hope mpaka nitakapofunga ndoa nitakua niko somewhere hatakua na mashaka
Ni mfano tu kiongoziAaaha kwa hio mpaka uwe na akiba ya kutosha ndio unaingiamo huko ili kusudi likitokea la kutokea unafanya utatuzi wa haraka, duuh kumbe upo singo au umetoa mfano
Hii ina kaukweli fulani hivi emu ondoa password hapoMwanamke akikupenda kweli hawez shindwa fanya chochote kwaajili yako. Kumbuka hao hao wanawake unaosema wanapenda pesa huwa wanaenda kuwahonga wanaume wanaowapenda
We msanii kumbe huu sio mfano ni mfananoNi mfano tu kiongozi
jamani ππWe msanii kumbe huu sio mfano ni mfanano
Mfanano huo ndio Ila umeelewekajamani ππ
Sawasawa ππMfanano huo ndio Ila umeeleweka
π€ Unapenda kupigwa 5 we shabiki wa Simba?Sawasawa ππ
Jamani weweπ. Me ni mwananchi mkuuπ€ Unapenda kupigwa 5 we shabiki wa Simba?
Aaha hapo sasa sawa nimekuelewa vizuri Mwananchi km MimiJamani weweπ. Me ni mwananchi mkuu
Inapendeza SanaπAaha hapo sasa sawa nimekuelewa vizuri Mwananchi km Mimi